Sasa ni lunchtime

Sasa ni lunchtime

Okay ningeona prawns apo ningelia machozi kwa uroho lol au pweza

1421982370815.jpg1421982387694.jpg1421982397692.jpg
 
Nadhani linapokuja watz wengi tunakula bila kuzingatia afya, mafuta sana.....vitambi sana🙂
 
Ungekwenda vizuri tu unafkiri ndio ningekukaribisha? Kwanza simu nazima alafu mlango naandika wenyewe wamehama

Quii quiii quiiii ila HARUFU ya prawns wakikalangizwa ingesema yote
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom