![]()
Mkuu umenifanya minyoo kuunguruma tumboni, hari imekuwa tete utulivu umepotea, umenitia hamu hivi fasta kutafuta hii kitu.
Huo msosi unapatikana wapi?
Unaonekana mtamuuuu
Alafu wanajua kutengeneza.
aisee mpaka mate yemedondoka
kwani wew unakulaga mdudu???? mi napenda ugali kwenye jani la mgombaaa, we acha tuu
Mamaaaaaaaaaaaa!!