Sasa ni kulala

Status
Not open for further replies.
Jamani sasa si tuendelee tu auuu wengine tupo wabeba boksi wa Rwanda ni mchana huku jamaniii
 
Ujinga hadi huku!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 


Bora muanike hili goma lifike mwisho maana kama mtu katajwa alafu kila akianzisha uzi na ye aseme yake wahusika hawatokei na uzi unafungwa....sio vizuri!
 
ID mpya ya nini tumia hii bhana,hakikisha unaweka mambo hadharani A to Z ili uzi ukifungwa tuwe tumeshiba tunanawa mikono tyuuuuuuu:third::second::A S crown-1:

Noooo! NINA SILAHA ZA KIVITA TOKA KWA BI PAZI CHOTARA WA KIMAKONDE NA KIZARAMO! YAANI SILAHA ZA KINUCLEAR NEVER SEEN BEFORE! Atajutraaaaaa kunifahamu!

Afu mnaojifanya baba ushauri kesho msitie miguu kwenue ule uzi maana nannyie nitawafanya vibayaaaa mpaka mtashangaaa! UMBEA TUUU, MNACHOSHAURI NINI WAKATI KILA UJINGA UKIWEKWA MNASOMAAA NA KU COMMENT? Mngekuwa na maana si mngepotezea? Yaani kesho mkae mbali!

ACHENI TUJICHORESHE KINACHO WAWASHA NINI, WAKANYENI WAKE ZENU TANGIA LINI TUKAWAHUSU! Yaani kesho mtu alete fyoko fyoko mmmmmmmh!
 

Teh tehh kama hawataki waende jukwaa la katiba na siasani sio kuganda humu tu alaaaaa
 

Ujue ulinipa mzuka wakusutaa mtuuu lol!!!
 
ID mpya ya nini tumia hii bhana,hakikisha unaweka mambo hadharani A to Z ili uzi ukifungwa tuwe tumeshiba tunanawa mikono tyuuuuuuu:third::second::A S crown-1:

Kesho saa 5 asubuhi shosti, hakikisha sipitwi!
 

Aise unistue hiyo kesho...nimepitwa sana lol
 
Ujue ulinipa mzuka wakusutaa mtuuu lol!!!

Dah halafu mi nilijua ni wewe kweli maana ulivyokuwa ulitajwa sana alafu nilikuwa sioni reaction yeyote na nnavyokujua huwa hukopeshi.....nikahisi duuh tumboo kapatikana!
 
Last edited by a moderator:
Dah halafu mi nilijua ni wewe kweli maana ulivyokuwa ulitajwa sana alafu nilikuwa sioni reaction yeyote na nnavyokujua huwa hukopeshi.....nikahisi duuh tumboo kapatikana!

Hahaaaa yan lol tatizo nlikua bizy sana nikawa sifatiliii nashukuru wanaonipenda ndio walio nistua yan nlikua sjui hata moja na nikaona nkianza kiki ntaonekana sio nkaamua kupotezea yan lile jitu zima ovyooo bayaaaa sanaaa
 
Last edited by a moderator:
Dah halafu mi nilijua ni wewe kweli maana ulivyokuwa ulitajwa sana alafu nilikuwa sioni reaction yeyote na nnavyokujua huwa hukopeshi.....nikahisi duuh tumboo kapatikana!

kujitetea imo hata kama ni kweli
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…