Watakua wameinvert: umetumia 400MB, umebakiza 16074 (or 16GB)... nadhani...
1GB =1000MB so kama total ni 400mb=0.4gb, hizo 16gb zatoka wapi? mashine zao zimepata kifafa
Watakua wameinvert: umetumia 400MB, umebakiza 16074 (or 16GB)... nadhani...
Preta said:asante sana.......ni kama ulijua jinsi nazimikia movie.......ndio napakua sasa......
Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya......
sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie......
Hamia tiGo unapata internet isiyo na kikomo wewe nikubonyeza tu