Sasa ndio nini hii nyie Airtel....?

Sasa ndio nini hii nyie Airtel....?

aisee preta hata mimi hiyo nimeiona na hadi sasa ni karibu masaa 3 natumia haibadiliki
 
Hahahahahaaa mlikuwa hamjui? Jana jioni na usiku AIRTEL ilikuwa bureeee! Xow kama chance ilikupita imekula kwako!
 
Preta said:
asante sana.......ni kama ulijua jinsi nazimikia movie.......ndio napakua sasa......

P umefanikiwa kupakua hako ka movie na 16 GB zako ?
 
Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya......



sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie......

Hamia tiGo unapata internet isiyo na kikomo wewe nikubonyeza tu
 
Back
Top Bottom