Sasa ndio nini hii nyie Airtel....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa ndio nini hii nyie Airtel....?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Preta, Oct 20, 2011.

 1. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya......

  sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie......
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watakua wameinvert: umetumia 400MB, umebakiza 16074 (or 16GB)... nadhani...
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Du una bahati wewe,embu uliza tena mara ya pili?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Roulette....mimi nilikuwa nategemea niambiwe zimebaki 16MB.....sasa hichi cha 16GB huoni ni kituko sana.....
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yawezekana operator kakuhusudu !!! we tumia tu!
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Basi, ndio mambo ya bonus sasa hayo...
   
 7. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45
  Hawa ni wezi sana
   
 8. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni Logical Mis Calculation anytime cstim ina messup ukijaribu tena baadae utakuta mambo yamekaa sawa mate
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  ngoja nijaribu tena nione imekuwaje......moyo ulidunda ujue....
   
 10. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mkuu hata mimi napata msg kama hiyohiyo nimeshauliza km mara mbili inakuja msg ya hivo nimedownload mafaili makubwa nikiuliza salio napata msg hiyohiyo ngoja nijiachie
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Usishtuke ni mimi nimekutumia niliiingia kwenye billing server kufagia. Aliyeauwa ananilinda alivyosinzia na baridi la server room nikabonyeza command ya add 16 GB to Preta.

  teh teh teh Joking inawezekana database zao zimerogwa. na Tigo.
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280

  he he.....asante sana.....na nimejaribu kuangalia tena salio....nimekuta mdundo ni huo huo.....ngoja niendelee kujipepelea mie.....
  btw....nilikumiss......
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,213
  Likes Received: 10,558
  Trophy Points: 280
  Du unabahati kweli preta sijui nikupe number zangu unipunguzie salio kama inawezekana please.
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  P mimi sio tu nilkumis bali kitendo cha kukumiss kipo "autoplay " teh teh teh

  Sasa zitumie hizo ukienda kulala download movie . Pakua hii movie ya the Notebook kwenye piece mbili ndogo ndogo. Its very nice na nimeidedicate kwako kwa hizo 16 GB kabla hawajazichukua Ia movie yenyewe imekuwa compressed kuwa sio zaidi ya 300 MB . Ni story nzuri sana  part 1 Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends Network - Ziddu
  part 2 Free File Hosting & Video Downloads, Free File Sharing, Online Friends Network - Ziddu
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hi hi......lete namba nikutumie saa hii kabla hawajashtuka......
   
 16. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Ha! Hii kitu niijua ni modem yangu tu, toka mchana inaniambia vitu sivielewi. Halafu ukiangalia vizuri MBs ulizotumia zinazidi kupungua (mfano kutoka 16054 zinaelekea 16043 na kuendelea)
   
 17. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Niliunga line yangu ya airtel bundle iyo. Nimeiweka na kuchek. Ime sema ivo ivo! Hmm! Der is somtn fishy apa! Labda wanataka tufikirie tuna amount kubwa ya data left ili uzimalize haraka kwa kujua una bytes za kutosha kumbe sio!
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  asante sana.......ni kama ulijua jinsi nazimikia movie.......ndio napakua sasa......
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nimeshadownload movie tatu lakini hadi sasa mwendo ni huo huo
   
 20. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi mnavyotambiana hapa nadhani maprogrammer leo watalala huko kazini 'kumeki shua' haka ka tatizo kanakuwa solved!
   
Loading...