Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

kwa hili tuko pamoja Lowasa ni mtumishi mwema wa Kanisa. Hii ni fursa ya kusimika mfumo kristo mpya kwa miaka 10.

Lowasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Huyo ndiyo kiboko ya Dr.Slaa CCM wanakutuma Chadema, teh teh teh.

Mara hii umewageuka Chadema njaa mbaya.
 
Huyo ndiyo kiboko ya Dr.Slaa CCM wanakutuma Chadema, teh teh teh.

Mara hii umewageuka Chadema njaa mbaya.

Huyu Lowasa na Dr Slaa watakuwa wanakutana kanisani ili kuongeza amaount ya MoU.
 
YouTube

9:29to top

9_29.png
Sahih International
Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Hiyo ni translation from arabic to english tupe tafsiri yake shekh Mzito Kabwela.
 
Last edited by a moderator:
Naona agenda sasa imegeuka sio mapambano dhidi ya ccm ila ni mapambano dhidi ya waislamu. Matola kazi nzuri mngojee daktari akija kukupa malike ya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA Company wananchi wameshaishtukia.

Totooo,ndiondiooo.we kalia ndiooo!na kuwadanganya watu juu ya chadema kushuka badala ya kujenga ccm yako!.Mmewaambia nini wananch mpaka wakaistukia?wenzenu wanang'oa magugu ili yasidhoofishe mazao nyie mmekalia kuyachekea manyani.
 
Naona agenda sasa imegeuka sio mapambano dhidi ya ccm ila ni mapambano dhidi ya waislamu. Matola kazi nzuri mngojee daktari akija kukupa malike ya kutosha.

Hii ni vita dhidi ya Magaidi, waulize yaliowapata wahanga wa Westland mall kama utathubutu kutetea magaidi kwa mgongo wa uislamu, unless unieleze matendo ya Boko Haram, Al shabaab na Al qaeda ndio uislamu wenyewe na ndio sunna za mtume.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Lowasa na Dr Slaa watakuwa wanakutana kanisani ili kuongeza amaount ya MoU.
Kumbe Lowassa na Dr. Slaa wanasali kanisa moja.

Teh teh teh huyu ndiyo mwanachama mpya wa Chadema.
 
Naona agenda sasa imegeuka sio mapambano dhidi ya ccm ila ni mapambano dhidi ya waislamu. Matola kazi nzuri mngojee daktari akija kukupa malike ya kutosha.
Mkuu CHAMVIGA

Mimi napenda sana waendelee na kejeli zao dhidi ya Waislam wanazidi kujidhihirisha dhamira yao dhadi ya Waislam.
 
Last edited by a moderator:
Chadema tumepata pgo,ameondoka sixgates anakuja huyu kilaza #matola ambaye huwa anajua kuropoka na kutukana tu. Ile section ya chadema mabaunsa chini ya lema imepata mfuasi.
 
Hiyo ni translation from arabic to english tupe tafsiri yake shekh Mzito Kabwela.
Alhabib CHAMVIGA Ustaadh Ritz ananilaumu bure tu aya kwenye Kuran imesema piganeni na Wakristo. Magaidi kwa kuitekeleza aya hii wameamua kuua Wakristo. Sasa Alhabib Ritz ukimtajia magaidi tu yeye anakimbilia kusema umewataja Waislam. Mimi naamini Magaidi ni wahuni tu, wawe wa kiislam au wawe wa kikristo, wote wahuni tu. Nilichofanya ni kutoa aya inayowapa kibri hao masheitwan Magaidi.Hii hapa Sheikh CHAMVIGA

Sahih International
Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Swahili
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
 
Last edited by a moderator:
ID yako tuu inatisha Sumu, daaa kweli umeamua kumwaga sumu!!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Lowassa na Dr. Slaa wanasali kanisa moja.

Teh teh teh huyu ndiyo mwanachama mpya wa Chadema.

Ulikuwa hujui kama kanisa ni moja? Sasa subili MoU ya safari hii, badly unapigana vita usiyoijuwa wala humjui hata adui yako ni nani.
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
Teh teh teh....kumbe pamoja na mapovu yote unayoyatoaga humu ndani hukuwa mwanachama??? This is news kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Mbona ho unaowaambia ni kama wamekupuuza? Sioni wakichangia.

Sheikh Ritz una nini leo
Teh teh teh wananipuuza angalia wasomaji wa huu uzi ndiyo nanao walenga siyo members kuchangia kamanda JF inasomwa kwingi.
 
Last edited by a moderator:
Ulikuwa hujui kama kanisa ni moja? Sasa subili MoU ya safari hii, badly unapigana vita usiyoijuwa wala humjui hata adui yako ni nani.
Adui yetu sisi ni Padri kuwa rais bora atawale hata Mrema, teh teh teh.
 
Hii ni vita dhidi ya Magaidi, waulize yaliowapata wahanga wa Westland mall kama utathubutu kutetea magaidi kwa mgongo wa uislamu, unless unieleze matendo ya Boko Haram, Al shabaab na Al qaeda ndio uislamu wenyewe na ndio sunna za mtume.

Acha kuficha makucha yako otherwise tukuletee mabandiko yako uliyowahi kuwatukana na kuwakejeli waislamu na uislamu.
 
ZeMarcopolo sasa imegundulika kuwa watu wako mafisadi fedha walizoficha NewJessy ni nyingi kuliko zilizo fichwa Uswiss!! In terms of Billions USD, enaugh to fund five TZ ministries!!
Bado tu umelala kijana amka
tetea taifa lako, tuondikane na wezi hawa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom