Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Narudia tena kukuambia Chadema pambaneni na CCM siyo kupambana Uislam.

Wewe andika upendavyo dhidi ya Uislam wala hakuna wakukukataza ni haki yako.

Mtakutana na Wislam wakati wa uchaguzi mtakapokwenda kuwaomba kura mwaka 2015.

Weka ushahidi kamanda Waislam wakusome.

YouTube

9:29to top

9_29.png
Sahih International
Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Lowassa ndiyo rais wa Tanzania 2015 Dr.W.Slaa atabikia na nafasi yake rais kivuli tu.

kwa hili tuko pamoja Lowasa ni mtumishi mwema wa Kanisa. Hii ni fursa ya kusimika mfumo kristo mpya kwa miaka 10.

Lowasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz huyo mavi Mzito Kabwela yeye ni #black jew teh teh teh CC aldaktur al ulamaa almujitahid akhui kahtaan
Shaheed wako wa sampuli mbili....

Kuna shaheed wa Mushirkin na Kuna shaheed wa Ahlhul Kitaab.

Shadeed wa wa Alhul Kitaab ni Ajiru shaheed ani, huyu ana Ajir ya mashuhadaa wawili zaidi ya yule aliyeuawa na Mushirkin.

Malipo ya MASHUHADAA NI HURULAYN. Sasa kama Shaheed wa Mushirkin atapata MAHURULAYN 70, Shahidi wa AHlul Kitaab atapata MAHURULAYN 140.

Kwa hiyo tunasisitiza zaidi KUPIGANA NA WAKRISTO
 
YouTube

9:29to top

9_29.png
Sahih International
Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Mkuu lete na ushahidi mwingine Waislam wanataka kuwasoma viongozi wa Chadema, kamanda.
 
kwa hili tuko pamoja Lowasa ni mtumishi mwema wa Kanisa. Hii ni fursa ya kusimika mfumo kristo mpya kwa miaka 10.

Lowasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Na mahakama ya Kadhia tutaendelea kuitazama kwenye you tube jinsi inavyo operate. Marufuku Tanzania
 
Makamanda wa Chadema sasa wameamua kupambana na Waislam badala ya CCM.

teh teh teh
 
Makamanda wa Chadema sasa wameamua kupambana na Waislam badala ya CCM.

teh teh teh
Makamanda wanapambana na MAGAIDI. Vita ya kupambana na UGAIDI ni yetu sote. Kwani UISLAM ni UGAIDI?
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

Naona sifa mojawapo ya kujiunga chadema ni kuwa mtaalamu wa kutukana.
 
Last edited by a moderator:
ZeMarcopolo kweli wewe ni kijana husiyejua neno uzalendo likoje. Sitegemei mtu ambaye ana chembe ya uzalendo hata kama unafaidika na ufisadi wa CCM uendelee kuisupport CCM. Fumbuka kijana na kuwa mzalendo wa nchi yako katika ukombozi huu. Haijalishi unafaidikaje lakini kumbuka unafaidi leo kesho utazeeka na watoto na wajukuu wanahitaji kufaidi matunda ya nchi. Ukiona kwa karibu utaona uko uliko ni sawa mradi unafaidi lakini mzalendo siku zote uona mbali
Mkuu Matola,

Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.

Fikiria kwa makini, unapotea njia...
 
Kamanda pambana Waislam wanakusomeni.

Waislamu wana chama chao? Je waislamu ni kundi maalum?

Wewe Jihadist naye unajiweka kundi la waislamu? Kwanza hata mufti mwenyewe hawatambui wewe na wahabi wenzako.
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

A piece of advice to you"dont shout, argue and agree to disagree"
 
Waislamu wana chama chao? Je waislamu ni kundi maalum?

Wewe Jihadist naye unajiweka kundi la waislamu? Kwanza hata mufti mwenyewe hawatambui wewe na wahabi wenzako.
Nyie wafuasi wa Chadema mnazidi kujidhalilisha mbele ya jamii ya Kiislam.

Jihads ni nini?

Wahabi ni nini?

Hata hujui unachokisema.
 
Back
Top Bottom