Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Mkuu CHAMVIGA

Mimi napenda sana waendelee na kejeli zao dhidi ya Waislam wanazidi kujidhihirisha dhamira yao dhadi ya Waislam.

Ngoja wasomaji hasa waislamu waendelee kuwajua dhamira yao ya siri inayopelekea mpaka wanajitangaza kujiunga na chama rasmi wawatukane waislamu/uislamu.
 
Last edited by a moderator:
Ritz hayo maneno si unwambie Prof Safari?? Utabaki mwenyewe na wezi wako!!
 
Last edited by a moderator:
Acha kuficha makucha yako otherwise tukuletee mabandiko yako uliyowahi kuwatukana na kuwakejeli waislamu na uislamu.

Nifiche makucha yepi wakati mimi najurikana vyema kuwa niko mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya magaidi.

Sasa kama magaidi wenyewe karibu wote ni waislamu hilo siyo tatizo langu.

Hivi unataka kuniambia ni Matola ndio huwa anateka misikiti? Nonsense.
 
Alhabib CHAMVIGA Ustaadh Ritz ananilaumu bure tu aya kwenye Kuran imesema piganeni na Wakristo. Magaidi kwa kuitekeleza aya hii wameamua kuua Wakristo. Sasa Alhabib Ritz ukimtajia magaidi tu yeye anakimbilia kusema umewataja Waislam. Mimi naamini Magaidi ni wahuni tu, wawe wa kiislam au wawe wa kikristo, wote wahuni tu. Nilichofanya ni kutoa aya inayowapa kibri hao masheitwan Magaidi.Hii hapa Sheikh CHAMVIGA

Sahih International
Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Swahili
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.

AYA hiyo ilikuja mwaka gani? Na ipi sababu ya aya kuja/kushushwa? Je ni aamu(jumla) au khaaswa(maalumu)? Hebu nisaidie wafasiri waquruani wanasemaje shekh Mzito Kabwela?
 
Last edited by a moderator:
Nifiche makucha yepi wakati mimi najurikana vyema kuwa niko mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya magaidi.

Sasa kama magaidi wenyewe karibu wote ni waislamu hilo siyo tatizo langu.

Hivi unataka kuniambia ni Matola ndio huwa anateka misikiti? Nonsense.

Sura yako mheshimiwa Matola mbunge mtarajiwa kupitia kura za magaidi(waislamu) haijifichi hata kidogo. Sasa umeamua kuja kwagia zote. Twende kazi waislamu wanakusomeni chadema kwakuwabagua na kuwaandalia kaburi ambalo huenda mkaingia wenyewe chadema.
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

Matola na kelele zote hizo kumbe hata kadi ulikua hauna. Kuna siku nlikuona hapa ukimponda Dr Slaa nkajuakua ni mwanachama hai kumbe hamna kitu.
 
Sura yako mheshimiwa Matola mbunge mtarajiwa kupitia kura za magaidi(waislamu) haijifichi hata kidogo. Sasa umeamua kuja kwagia zote. Twende kazi waislamu wanakusomeni chadema kwakuwabagua na kuwaandalia kaburi ambalo huenda mkaingia wenyewe chadema.
Mkuu usiwe na shaka ngoja takuwekea mabandiko yake dhidi ya Waislam.
 
Last edited by a moderator:
Matola na kelele zote hizo kumbe hata kadi ulikua hauna. Kuna siku nlikuona hapa ukimponda Dr Slaa nkajuakua ni mwanachama hai kumbe hamna kitu.

Kwahiyo tusio wanachama wa chadema hatuna haki ya kuipenda Chadema, kuisupport na kuipigia kura?

Haya ni mawazo ya chooni tena cha shimo mlango gunia. Huna akili.
 
Nifiche makucha yepi wakati mimi najurikana vyema kuwa niko mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya magaidi.

Sasa kama magaidi wenyewe karibu wote ni waislamu hilo siyo tatizo langu.

Hivi unataka kuniambia ni Matola ndio huwa anateka misikiti? Nonsense.
Huyu ndiyo mfuasi wa Chadema angalia hapa anavyowaongelea Waislam na Uislam ngoja tudadavue bayana zako tunaanza na hapa chini.
Kazi sio kuwatoa magamba bali kuisafisha Chadema kuondokana na wapuuzi kama Zitto na wappumbavu wake na kusafisha kusiwe na Majihadist kama THE BIG SHOW.
Hapa unaleta kejeli kwa kiongozi wa Waislam.
Napendekeza Mufti Simba aliyeishia darasa la saba ateuliwe kushika hiyo nafasi.
Hapa bila sababu yoyote unawatukania Waislam Mungu wao.
Hapana Mungu si mmoja, kuna tofauti kubwa sana kati ya Mungu na Allah.

Allah ana sifa ya kuswali na analindwa kwa mapanga, majambia na Suicide bombers.
Hapa unapambana na Uislam na kuukashfu.
Magaidi ndio mashujaa wa waislamu.
Hapa unaletea dhihaka Mtume wetu Mohammad kutokana na chuki zako dhidi ya Waislam na Uislam hawa ni Chadema ndugu zangu.
Kumfuata mtume ambaye hajui hata yeye anakwenda wapi ni kutafutiana majanga tu.
Ndugu zangu Waislam bado huyu jamaa wa Chadema anaendela kuutukana Uislam, Mods tuwaomba msiiufute huu uzi.
Huwezi kutofautisha Uislamu na ufiraji.
Hapa kashfa dhidi ya Waislam zinaendela.
Nilidhani kuna habari mpya kumbe ni hawa magaidi wanaofugwa na vyombo vyetu vya Usalama?

Pale msikiti wa Markaz Kiwalani Dar es salaam mafunzo ya judo na kareti yanatolewa pamoja na kufundisha watoto wadogo kabisa ugaidi na rafiki yangu mmoja yupo TISS nilishamweleza hili lakini hakuna lolote.
Hapa unaendelea na kejeli zako.
Hata Mwamedi Mungu amlaze mahali anapostahili kwa kushiriki mauwaji na ubakaji wa vibinti mpaka vyenye miaka 9 tu, shame on him, sijui kama atanusulika na moto wa milele.
Tuishie hapa kuna uchafu mwingi umewatuka sana Waislam ni aibu hata kuyaanika hapa.

CC; CHAMVIGA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usiwe na shaka ngoja takuwekea mabandiko yake dhidi ya Waislam.

Kwa afya yake ya kisiasa anapaswa kuwaheshimu waislamu ila dharau zake ndio kifo cha chama chake na yeye mwenyewe.
 
Kwahiyo tusio wanachama wa chadema hatuna haki ya kuipenda Chadema, kuisupport na kuipigia kura?

Haya ni mawazo ya chooni tena cha shimo mlango gunia. Huna akili.

Mapenzi ya kumponda mtendaji mkuu?
 
Huyu ndiyo mfuasi wa Chadema angalia hapa anavyowaongelea Waislam na Uislam ngoja tudadavue bayana zako tunaanza na hapa chini.

Hapa unaleta kejeli kwa kiongozi wa Waislam.

Hapa bila sababu yoyote unawatukania Waislam Mungu wao.

Hapa unapambana na Uislam na kuukashfu.

Hapa unaletea dhihaka Mtume wetu Mohammad kutokana na chuki zako dhidi ya Waislam na Uislam hawa ni Chadema ndugu zangu.

Ndugu zangu Waislam bado huyu jamaa wa Chadema anaendela kuutukana Uislam, Mods tuwaomba msiiufute huu uzi.

Hapa kashfa dhidi ya Waislam zinaendela.

Hapa unaendelea na kejeli zako.

Tuishie hapa kuna uchafu mwingi umewatuka sana Waislam ni aibu hata kuyaanika hapa.

CC; CHAMVIGA

Mkuu Ritz asante kwakumkumbusha huyu Matola ambaye leo ameamua kurenew nguvu zake katika kupambana waislamu kama Zitto na wengineo huko chadema halafu anasema yeye anataka kuwa mbunge kupitia kura za waislamu na wakristo. Kuna mengi machafu zaidi ya hayo uliyocopy miongoni mwa matusi yake.
Cc Mohamedi Mtoi,
KIBANGA ampiga mkoloni, THE BIG SHOW et al.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola karibu sana! Umefanya uamuzi wa busara!

Let them say!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola karibu sana! Umefanya uamuzi wa busara!

Let them say!

mkuu Arushaone longtime no see you, karibu sana. Hivi chadema sikuhizi mnafundisha kuwatukana waislamu na uislamu kama matusi ya kamanda Matola kwa uislamu na waislamu? Ok umemkaribisha katika mapambano ishara kwamba mko pamoja ktk dharau hiyo kwa waislamu/uislamu.
Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz asante kwakumkumbusha huyu Matola ambaye leo ameamua kurenew nguvu zake katika kupambana waislamu kama Zitto na wengineo huko chadema halafu anasema yeye anataka kuwa mbunge kupitia kura za waislamu na wakristo. Kuna mengi machafu zaidi ya hayo uliyocopy miongoni mwa matusi yake.
Cc Mohamedi Mtoi,
KIBANGA ampiga mkoloni, THE BIG SHOW et al.

Msafara wa vilaza wakiongozwa na Ritz.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Matola,

CHADEMA ndo habari ya Mujini... Lets support CDM , hakuna kulala mpaka kieleweke..

Vijana kwa Wazee, Tuunge CHADEMA mkono kwa faida ya Sasa na Vizazi vijavyo.
 
mkuu Arushaone longtime no see you, karibu sana. Hivi chadema sikuhizi mnafundisha kuwatukana waislamu na uislamu kama matusi ya kamanda Matola kwa uislamu na waislamu? Ok umemkaribisha katika mapambano ishara kwamba mko pamoja ktk dharau hiyo kwa waislamu/uislamu.
Cc Ritz
Mkuu CHAMVIGA

Huyu jamaa kaandika matusi mengi sana dhidi ya Uislam jamaa yake Mzito Kabwela anakuambia wao wanapambana na magaidi.

Mimi tawaletea matusi ya hawa wote Waislam wawatambue wameingia anga zangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom