Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Mkuu CHAMVIGA

Huyu jamaa kaandika matusi mengi sana dhidi ya Uislam jamaa yake Mzito Kabwela anakuambia wao wanapambana na magaidi.

Mimi tawaletea matusi ya hawa wote Waislam wawatambue wameingia anga zangu.

Endelea kutokwa mapovu mimi sina hata muda wa kuingia kwenye profile yako.

Ur nothing to me garbage.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu waislam,kubshana na matola kunawafanya wote muwe wajinga,kwani matola ni tahra ktambo. Yani mtu ambaye amejiunga chamani jana ndo mmfanye kauli ya chama kuwa anawatusi uislamu? Deal na huyo mwehu nasio chadema kwani cdm haijawatukana.
 
endelea kutokwa mapovu mimi sina hata muda wa kuingia kwenye profile yako.

Ur nothing to me garbage.

we tahra umejiunga chama jana tu unataka utukosanishe na waislamu? Chama chetu kinaponzwa na mijitu kama nyie.
 
Ndugu zangu waislam,kubshana na matola kunawafanya wote muwe wajinga,kwani matola ni tahra ktambo. Yani mtu ambaye amejiunga chamani jana ndo mmfanye kauli ya chama kuwa anawatusi uislamu? Deal na huyo mwehu nasio chadema kwani cdm haijawatukana.
Acha utahira wewe muislam gani katukanwa,kama magaidi ndio uislam basi upo sahihi kama uislam sio ugaidi basi usilete unafki hapa...
 
Hapa kasimama kama mwana Chadema kuwatukana Waislam.
 
Siasa za pale ufipa opposite na manhatan guest house inabidi uwe na ubongo uliotiwa ganzi, ila ukiwa conscious, unaweza kumpiga slaa makofi.

Una wivu wa Kike aisee.
Kwetu wavalishwa Shanga kabisa mtu kama wewe
 
we tahra umejiunga chama jana tu unataka utukosanishe na waislamu? Chama chetu kinaponzwa na mijitu kama nyie.

Wewe tulia maamuma usiyejuwa lolote hawa kina Ritz & company ni Wahabi hata Mufti hawatambui.

Hili ni genge la wahuni wateka misikiti waliojazwa roho ya Jihad na Mwalimu wao mmoja hapa JF anaitwa Mzee mohamedi Said. Siku ukisikia hawa Jihadist wamejilipuwa si jambo la kushangaza hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Acha utahira wewe muislam gani katukanwa,kama magaidi ndio uislam basi upo sahihi kama uislam sio ugaidi basi usilete unafki hapa...
Hivi kwako matusi ni yapi? hebu msome hapa chini huyu Chadema mwenzako unayemtetea mnajidhalilisha bure mbele ya jamii ya Waislam.
quote_icon.png
By Matola
Huwezi kutofautisha Uislamu na ufiraji.
 
Hivi kwako matusi ni yapi? hebu msome hapa chini huyu Chadema mwenzako unayemtetea mnajidhalilisha bure mbele ya jamii ya Waislam.

Wewe wekeza nguvu zako kwenye kuteka misikiti na wahabi wenzako. Wacha kulialia hapa.
 
Wewe tulia maamuma usiyejuwa lolote hawa kina Ritz & company ni Wahabi hata Mufti hawatambui.

Hili ni genge la wahuni wateka misikiti waliojazwa roho ya Jihad na Mwalimu wao mmoja hapa JF anaitwa Mzee mohamedi Said. Siku ukisikia hawa Jihadist wamejilipuwa si jambo la kushangaza hata kidogo.
Ndiyo maana nakuambia pambaneni na CCM siyo waislam, nimekuuliza Wahabi ni kina nani hujibu hapa unamsifia Mufti Simba hili utimize malengo yako ya kuwatukana Waislam hebu jisome hapa chini unamkejeli Mufti Simba.
Napendekeza Mufti Simba aliyeishia darasa la saba ateuliwe kushika hiyo nafasi.
Tupatie Cv ya mufti Simba na Sheikh Ponda kwanza.[/QUOTE]
Bado unaendela na kejeli zako kwa Mufti Simba amabaye unasema hatutambui.
Napendekeza Mufti Simba aliyeishia darasa la saba ateuliwe kushika hiyo nafasi.
Hapa tena unaishambulia Bakwata.
Lazima muweweseke Bakwata ni genge la Wahuni na lazima iivunjwe mara moja hakuna cha elimu ya dini wala nini kama unaijuwa sana dini nenda kawafundishe Al qaeda, Boko Haram na Al Shabaab waache kuuwa innocent people kwa mwamvuli wa uislamu.
Twende taraatibu tutafika natumia matusi yako kama fimbo kukuchapa nayo.
 
Wewe wekeza nguvu zako kwenye kuteka misikiti na wahabi wenzako. Wacha kulialia hapa.
Hakuna anaye lia tulia nawafahamisha Watanzania ubaya wa Chadema kupitia kwako amabaye ndiyo mpiga debe mwaka 2015 mtawafuta Waislam kuwaomba kura zao lazima wawajue mimi ndiyo Ritz wa JF naweka bayana zako leo posts zako zinatumika kama fimbo yako.

Teh teh teh waite wenzako waje kukusaidia bado na matusi yako mengi yapo chimbo natoa kidogo kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

Harakati za kuiba wake za watu, ruzuku, fedha za sabodo haziwezi kuzimwa kirahisi, hilo tumeshaliona!
 
Hakuna anaye lia tulia nawafahamisha Watanzania ubaya wa Chadema kupitia kwako amabaye ndiyo mpiga debe mwaka 2015 mtawafuta Waislam kuwaomba kura zao lazima wawajue mimi ndiyo Ritz wa JF naweka bayana zako leo posts zako zinatumika kama fimbo yako.

Teh teh teh waite wenzako waje kukusaidia bado na matusi yako mengi yapo chimbo natoa kidogo kidogo.

Vijana wa chadema wanatukana uislamu hapa jamvini, wakati MBOWE anajifanyaga kuvaa Kanzu ili kupata kura za waislamu!
pp34.jpg
 
Matola

Naendelea kudadavua posts zako dhidi ya jamii ya Waislam, hapa chini unamshambulia Mtume Mohammad.
Muhamad naye alishindwa kuweka misingi mizuri na kuwaacha na roho ya chuki na ugaidi.

Nyerere ni Ccm na wewe ni Ccm wote nyinyi ni loser. Mphwèeeeeeeew.
Kejeli tena Duuu!!!
Hata Mwamedi Mungu amlaze mahali anapostahili kwa kushiriki mauwaji na ubakaji wa vibinti mpaka vyenye miaka 9 tu, shame on him, sijui kama atanusulika na moto wa milele.
Pambana na CCM msipambane na Uislam mtashidwa makamanda.
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

Jumani muda mfupi uliopita kuna hii kitu RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE ila imetolewa faster kwenye post list!!... Mwenye nao aitupie tena.
 
naona una utani na chama maana yeye ndie alikuwa anaishi kwa shemeji yake Ukonga...

Kamanda utahangaika sana maishani mwangu nimefadhiliwa na wazazi wangu tu na umri wa kujitegemea ulipofika sikuangalia nyuma nilianza mbele; hivi sasa napeta kwasabau sikuyaogopa maisha; hii tabia ya mtoto wa kiume aliyevunja ungo na kung'ang'ania kuishi kwa shemeji ni hatari sana nashangazwa na Matola; namshauri Matola kama vipi tuwsiliane uwezo wa kumlipia pango la mwaka Ukonga ninao bhilo sio deni kama namkopesha huo ni msaada kwa kijana mwenzangu sitaishia hapo hata kama anataka kuanzisha genge la kuuza nyanya pia nitamsaidia huo msaada hauna masharti!
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Matola

Naendelea kudadavua posts zako dhidi ya jamii ya Waislam, hapa chini unamshambulia Mtume Mohammad.

Kejeli tena Duuu!!!

Pambana na CCM msipambane na Uislam mtashidwa makamanda.

Mkuu Ritz
Huna sababu ya kujibizana na mtu kama Matola huyu analelewa hapo mjini hata akiambiwa amtusi mama yake atamtusi ili kuwaridhisha hao mabwana zake; akili zake hazina tofauti na wale machangu waliogeuza makaburi ya Kinondoni guest!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Huna sababu ya kujibizana na mtu kama Matola huyu analelewa hapo mjini hata akiambiwa amtusi mama yake atamtusi ili kuwaridhisha hao mabwana zake; akili zake hazina tofauti na wale machangu waliogeuza makaburi ya Kinondoni guest!

asante sana kwa ufafanuzi wako kumbe Ritz ni mama yake Matola !?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom