Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

Nashukuru sana macomrade wenzangu wa ccm..chama cha uhakika na chenye maono..naimani kila sehemu kuna changamoto na kuna njia nyingi nzuri za kupeleka mawazo na chama cha mapinduzi ni chama ambacho sikivu..nimefurahi sana macomrade na nitawashawishi wanaharakati wengi walioko kule chadema kwa kuwaeleza warudi huku ccm ndo chama sikivu na kinachoonyesha moyo wa kuwasaidia watanzania.

Upo mradi wa buku 7. Jaza form mapema kutoka kwa KM. pale lumumba. Usisahau kusema unataka kutumikia nafasi gani.
 
Karibu sana,
....................................................................................................................
Kwetu ww ni km mwana mpotevu tunakukaribisha kwa shangwe zote

Duuuuuu tuseme basi hata kusoma hajui lakini picha asione! we mkali aiseee!
 
We kweli umepotea!umeshindwa kufikiri ukakosa uamuzi hata ukaenda PPT Maendendeo,NRA au hata kwa mzee Lyatonga Mrema?
 
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm

endelea na bishara zako utaharibu fyucha yako utachukiwa na wengi...
 
kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm[/QUOTE]
We naye chizi tu kama hao walio huko
 
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm
uamuzi ulioufanya ni uamuzi unaofanywa na watu wenye hekima tuuu! Wale mamburura na machizi wanywa gongo na wavuta bangi huwa wanajijua wapi panawastahili ambako ni CHADEMA ,,karibu ccm mkuu huju hakuna kutekana wala ukabila hakuna ,hiki ni chama cha wazalendo wapenda haki na maendeleo kwa manufaa ya wananchi kariiiiiiibu sana,.
 
Karibu sana ila uku kwetu hakuna kitu kinachoitwa migomo, migomo ipo kwa hao wengine.
 
hujui hata namna ya kupata kadi ya ccm! we tayari ni mzigo! kadi ya ccm inapatikana kwa kununuliwa na kulipiwa na mgombea wa udiwani ama ubunge kupitia ccm, ama subiri wakati wa kura za maoni utaipata
 
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm

Mwanaharakati Ni nini malengo yako na kwa nini CCM, unaiona vipi CCM nini mabaya yao na nini mazuri yao? Wewe binafsi umepanga ukipokelewa ufanye nn?
 
ww ni mfu unaetembea!r.i.p,huna jipya zaidi ya maisha magumu kukupiga kitaa umeona uende kwamafisadi ili uongeze ukoo wapanya baba,mama nawatoto wote ndevu(ufisadi mtupu).
 
Katika kila mada za kisiasa lazima ccm ilinganishwe na cdm.na sio chama kingine cha upinzani kwa nini? Cdm ni zaidi ya chama,kwani kiko ktk mioyo ya watz wengi.ccm inalijua hili vizuri na ndio sababu ya kukiandama kwa saana.ccm inatumia police,mahakama na usalama wa ccm kukidhoofisha lakini wameshindwa.

"Acha wafu wakazike wafu wao" nenda ka ungane na wafu wenzio.
 
We kweli umepotea!umeshindwa kufikiri ukakosa uamuzi hata ukaenda PPT Maendendeo,NRA au hata kwa mzee Lyatonga Mrema?

Huku sijapotea..ndo mana nimekuwambia baada ya tafakari ya muda mrefu hivyo vyama unavyosema vyote nimeona lakini mwisho wa siku CCM ndo kila kitu na hakuna kama ccm aisee.
 
mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa ccm mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni pm viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm

kijana wangu pole na kazi uliyoanza ya kushiriki kazi za kishe.tani za mafisadi ,na wauza dawa za kulevya!

Ila sina shaka kama siyo mchumia tumbo utarudi kundini tu,labda kama una hadhi kama ya wato wa akina kapuya.au riz. 1 ambaye alinyakwa bei.jing na unga wa mhogo,hlafu mzee mwenzangu jey key aka kwea ungo kwenda kumuiskepu na majanga ya kitanzi.

Au huoni mika.taba 1.7 ,ya kishetani.
 
naongelea chama ni si mtu...then huwa na deal sana na habari zilizothibitishwa na za kusikia...kingine huo ushetani hata vyama vingine upo sema cha msingi kufuata taratibu na katiba ya chama husika...karibu ccm ili ujue ukweli mana naona unaishi mno kwa kusikia..
 
Wewe kijana wangu unaye jiita mwana harakati,unawateteaje watu wa morogoro waliobomolewa nyumba zao na mwekezaji wa c.c.m? Kama umeangalia i.t.v.

Ila nina wasiwasi mz.ee wa.ko atakuwa ana tabia za kima.binama.bina!
 
Back
Top Bottom