Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

Wewe ni mtembea na sumu mnywa gongo. Hii thred haikuhusu.
......vijana wa ccm hamna heshima kabisa....vilaza sana...wewe unanijua mimi mpaka ..useme nakunywa gongo....kilaza mkubwa wewe...kama umeshidwa kujibu hoja kaa kimya...nimemuliza kadi ya CCM mpaka pm JF..? jibu kama huwezi kaa kimya...badala ya kujibu hoja unaleta mambo ya kijinga jinga hapa
 
Maendeleo makubwa a ccm ni kukufanya ww Mndengereko uwe huru kimawazo unafkr cdm ingeshika dola yote haya ungeyapata? Ukweli ni kwamba chadema haina uwezo wa kushika dola kwa sababu tu imeweka maslai binafsi na kujifanya inajali wananchi...chama cha fujo,wabinafsi na wababe.. hakiwezi kuongoza nchi ikiwa chenyewe kimeshindwa kujiongoza kwa kuogopa changamoto kitafuta uanachama kwa kila independent mind...
 
Last edited by a moderator:

nani kakwambia mimi chadema?,ccm imeshika dola kuanzia lini na uo uhuru wa mawazo unaouzungumzia tumeanza kuona kuanzia mwaka gani/awam gani??
 
Kwa Macho ya Ki-chadema hutayaona.
ndio tatizo lenu kila mtu anaewapnga kudhani yupo chadema maendeleo ya kujenga chuo,alafu kuiendesha mnashindwa(udom) walimu hawalipwi pesa zao kwa wakati,wanafunzi hawapati mikopo,maendeleo ya shule nzima kuwa na mwalimu mmoja na still wanafunzi wanafaulu,maendeleo mwl mnawalipa mshahara laki tatu,maendeleo shulee hazina vitabu,vyoo,wala walimu wa kutosha achilia bali wenye uwezo,maendeleo ya kushindwa kupambana na ujangili,rushwa na ufisadi maendeleo tuna gesi,jua,upepo umeme unit moja sh 125 achilia mbali unakatika kila baada ya masaa mawili.?
 
Hongera sana comrad kwa maamuzi sahihi. (Sio ya kijuha kama ya kamati kuu ya mtei).
tembelea tawi lolote la ccm karibu na unapoishi upewe kadi yako ya uanachama au uliza ofisi za ccm kata au wilaya. Jisikie upo nyumbani

Ametaka ku-pm au ndy div 5.
 
ndio tatizo lenu kila mtu anaewapnga kudhani yupo chadema maendeleo ya kujenga chuo,alafu kuiendesha mnashindwa(udom) walimu hawalipwi pesa zao kwa wakati,wanafunzi hawapati mikopo,maendeleo ya shule nzima kuwa na mwalimu mmoja na still wanafunzi wanafaulu,maendeleo mwl mnawalipa mshahara laki tatu,maendeleo shulee hazina vitabu,vyoo,wala walimu wa kutosha achilia bali wenye uwezo,maendeleo ya kushindwa kupambana na ujangili,rushwa na ufisadi maendeleo tuna gesi,jua,upepo umeme unit moja sh 125 achilia mbali unakatika kila baada ya masaa mawili.?

Zote ulizozitaja hapo ni changamoto, ambazo hazina budi kujitokeza katika njia ya kuelekea kwenye mafanikio. Huwezi kufanya jambo lolote zuri likaenda straight bila changamoto mbili tatu hapo katikati. Katika safari ya maendeleo challenges huwezi kuzikwepa.
 
nashukuru sana comrade...nimefanya tathmini ya kutosha na tafakari ya muda mrefu ndo nimefikia maamuzi hayo na hakuna wa kunibadili...tushirikiane tuimarishe chama ili wale waandamanaji waone cha mte makune.

Same old shit! Limbukeni wa siasa, umekwama ulipokuwa ndo umeamua kukimbilia siasa! na hapo kisipoeleweka kabebe 'sembe'
 
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm

Msomi mchambuzi mwanaharakati hata hujuhi Kadi za CCM zinapatikana wapi?
 
Najua ubongo utakuwa umeutelekeza pale mlalakuwa.
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm
 
Nashukuru sana macomrade wenzangu wa ccm..chama cha uhakika na chenye maono..naimani kila sehemu kuna changamoto na kuna njia nyingi nzuri za kupeleka mawazo na chama cha mapinduzi ni chama ambacho sikivu..nimefurahi sana macomrade na nitawashawishi wanaharakati wengi walioko kule chadema kwa kuwaeleza warudi huku ccm ndo chama sikivu na kinachoonyesha moyo wa kuwasaidia watanzania.
 
Back
Top Bottom