Mkazuzu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 449
- 559
nani kakwambia mimi chadema?,ccm imeshika dola kuanzia lini na uo uhuru wa mawazo unaouzungumzia tumeanza kuona kuanzia mwaka gani/awam gani??
Uhuru wa mawazo ni haki ya kila mwananchi katika taifa huru refer katiba,hivyo usilishwe sumu,usije hapa jukwaani kwa hoja kwamba,ccm imejenga barabara,hospitali,shule.je waRC wakija hapa nao kujinadi kuwa wamejenga mashule na mahospitali tutasema kuwa kanisa lina maendeleo kushinda serikali?nilisahau kuuliza hivi zile bajaj 400 bado zinafanya kazi?na ile meli mpya kubwa ziwa victoria nipe schedule yake