Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

Mtu makini hufanya jambo kwa faida na sio kutafuta sifa zisizo na faida ambazo humpelekea kuonekana kikaragosi kwa wenye nazo.
Wewe nenda ukanywe gongo huko huna akili ya kuongea na mwanaccm mpya. Hanywi gongo huyu
 
Ww ulichelewa wapi mbona vijana wenzio tulishakuwa ss m kitambo
Wahi kaka achana hizo lugha za matusi sio zetu, nyerere hakutufundsha ivo enzi za chipukizi na umoja wa vijana
 
nenda mwanakwenda ukaendeleze uanaharakati wa kifisadi
Hamwagii watu tindikali
hapori wake za watu
hana mahawara/sio king muswati
halishi watu sumu
hanywi gongo
sio mhuni
kwanini asijiunge na ccm?
 
Hongera sana comrad kwa maamuzi sahihi. (Sio ya kijuha kama ya kamati kuu ya mtei).
tembelea tawi lolote la ccm karibu na unapoishi upewe kadi yako ya uanachama au uliza ofisi za ccm kata au wilaya. Jisikie upo nyumbani

kama huna pesa ccm utabaki kuwa mbeba maboksi ya kofia na tshirt za kijani,na utaendelea kutumika kama mpira wa gegedo!mdanganye!
 
Hamwagii watu tindikali
hapori wake za watu
hana mahawara/sio king muswati
halishi watu sumu
hanywi gongo
sio mhuni
kwanini asijiunge na ccm?

wahuni=ccm cc prof k,walisha sumu=ccm cc mwakyembe,walevi na wake za watu+ mahawara=ccm cc,maliiima& michembe na mafisadi ni ccm,unamshauri kujiunga na chama cha mauaji??? Mdanganye!!!!!!
 
Hamwagii watu tindikali
hapori wake za watu
hana mahawara/sio king muswati
halishi watu sumu
hanywi gongo
sio mhuni
kwanini asijiunge na ccm?

wahuni=ccm cc prof k,walisha sumu=ccm cc mwakyembe,walevi na wake za watu+ mahawara=ccm cc,maliiima& michembe na mafisadi ni ccm,tindikali na kucha =ccmc kubenea&ulimboka,mauaji=ccm cc mwangosi,soweto,iramba na igunga, unamshauri kujiunga na chama cha mauaji??? Ni bora kujiunga na shetani kuliko kujiunga na maccm utapata laana ya milele!!! Mdanganye!!!!!!
 
umepotea mkuu ila karibu kwenye ukoo wa panya baba sharubu mtoto sharubu
 
heshimu maono yako jipange kuwatumikia watu endapo utapata nafasi ya kuwatumikia watu.

nashukuru sana comrade...nimefanya tathmini ya kutosha na tafakari ya muda mrefu ndo nimefikia maamuzi hayo na hakuna wa kunibadili...tushirikiane tuimarishe chama ili wale waandamanaji waone cha mte makune.
 
Huwa nayachukia mathread yanayosabisha watu watukanane!
 
Karibu kwenye chama cha siasa. Achana na saccoss
 
Sawa sawa Komredi, maendeleo ya kweli yanapatikana chini ya CCM. Kazi inaonekana.

inaonekana sana na huo ndo ukweli maendeleo yapo makubwa binafsi natokea mbinga na kwakweli serikali chini chama kimejitahidi kutengeneza barabara tena kwa kiwango cha rami toka mbinga hadi songea hakika uku ndipo kwenye tumaini kwa watanzania co kuandamana masaa yote..
 
na uache kulalamika mafuta,umeme,gesi.nauli vimepanda bei. na uache kabisa kulalamikia kwamba maisha magumu.
 
Back
Top Bottom