WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 932
naongelea chama ni si mtu...then huwa na deal sana na habari zilizothibitishwa na za kusikia...kingine huo ushetani hata vyama vingine upo sema cha msingi kufuata taratibu na katiba ya chama husika...karibu ccm ili ujue ukweli mana naona unaishi mno kwa kusikia..
heri tunao sikia mema na kuyafuata,kuliko unayeona na kuthibitisha uovu na ukakubali kuutumikia bila hofu ya "allah"
kwa taarifa ya.ko kijana subiri kacheo ka ukuw.adi kipindi cha mikutano yao ya kugawa rasilimali za taifa,kiz.ota dodoma