Sasa mbona ananisumbua?

Sasa mbona ananisumbua?

dah kweli pole sanaaa aiseh mtafute bashite naye anapitia mazito kama yakoo akushauri namna ya kuyashinda ingawa yake yanaelekea kumshindaaa
 
Mamaa wakati wenzako wanazaa watoto wewe umezaa jambazi. Mwanao wa chini ya miaka kumi anatishia kuua mtu? Heee! Huyo naye atakutesa kama babaake yaelekea ni damu yake kweli.
 
Niliona alishaniharibia yeyote mwengne acngeniamn
Alishakuharibia nini?
Mwingine asingekuamini kitu gani?
Inaonekana miaka hiyo unayozungumzia bikra ilikuwa kitu muhimu sana e?
 
Alivyomuacha mwanzoni hakujua kuna umuhimu wa kumlea mtoto au, tena asipoteze vocha kumpigia huyo ni muuaji ingawa kosa liko kwa bibie kulazimisha ndoa
Ndio alifanya hivo lakin huwezi jua kilitokea nn mpaka yakaja hayo, na tumeona sista alimlazimisha kuoa, may be jamaa kakua now ataweza
Wacha waongee kama familia wayajenge
 
mm nina busara Bonny basi tu huwa haunikubali unaniona kiazi

huyo dada anampenda huyo jamaa acha wakaongeze mtto mwingine wa pili, kuna vitu vingine ujue sio kila kitu kinachokukuta unakimbilia jf kuomba ushauri vingine unamalizana navyo mwenyewe.
Ha ha ha ha jumapili huwa una akili sana usiache kwenda kanisan aisee
Mwache tu amrudie maana wengne matomaso mpka waguse ndio waamin
Mtu kakukataa na shida zako Leo hii maisha yamekukubali bado unataka kumuombea ushaur
Watu ndio maana walisemaga akili zenu Mida mengne zinatosha kuvukia barabara tu.
 
Ndio alifanya hivo lakin huwezi jua kilitokea nn mpaka yakaja hayo, na tumeona sista alimlazimisha kuoa, may be jamaa kakua now ataweza
Wacha waongee kama familia wayajenge
Akue mara ya ngapi, hamna alomshika mkono akaandika talaka.
Anaanzaje kumrudia mtalaka wake sasa
 
Huyo mtoto ana haki ya kumsalimia babake lakini isiwe ndo gia ya wewe kutaka kurudiana na mtalaka wako. Alikuacha mwenyewe, hivyo vitisho ni vya nini. Alikuwa hakupendi na hatokaa akupende milele, anatumua udhaifu wako aje afaidi ulivyonavyo. Wala usimtie maanani
Mwachen amrudie tuandikiww thread nyengne
 
Alishakuharibia nini?
Mwingine asingekuamini kitu gani?
Inaonekana miaka hiyo unayozungumzia bikra ilikuwa kitu muhimu sana e?
Mpk Sasa bikra Ni muhimu nnavyohic mm ili kujenga uaminifu kwa atakaekuoa else atajua ty kwamba Kuna mtu nyuma yake na ipo cku unaweza ukarud kwake
 
Back
Top Bottom