Sasa Magari yetu pendwa kurudi barabarani

Sasa Magari yetu pendwa kurudi barabarani

Na yale yaliyokamatwa na auction mart sijui wenyewe watarudishiwa? Maana walikuwa wana mpango wa kuyapiga mnada kutokana na road licence
 
ngoja nifufue combi yangu
12241456_100453223656538_7366454893905480373_n.jpg
12241456_100453223656538_7366454893905480373_n.jpg
 
Naona kuanzia July namba D zitaisha sasa tutahamia namba E, magari yaliyokua yamefichwa majumbani mengi yalikua na namba TZ
 
Kumbe madeni yanalipwa kwanza? Maana mimi roho imeniuma wiki iliyopita nimelipa 1,087,500 kodi ya kuanzia 2015 sasa niliposikia wamefuta nusu nilie kuwa ningejua ningesubiri. Ila kama watadai madeni ya nyuma kabla ya uamuzi huu nitajiona mjanja vinginevyo bado naugulia maumivu!
Usiumie.. Umefanya vyema kuchangia pato la nchi.. Wewe ni mzalendo wa kweli.
 
Hapo hapo jamaa walishatangaza kuanza kufanya emission Test,hahah watakula vichwa vya watu balaa vya wamiliki wa magari
Walitangaza lini si magari yote Tanzania yatondoka barabarani maana yatafeli hiyo emission test...
 
This time walioweka tinted na ngao wajiandae kisaikolojia, hawataachwa salama na politulafiki
 
Mkuu madeni ya nyuma,adhabu na faini zote zimefutwa kwa hiyo sasa hivi hakutakuwa na swali kutoka kwa Mamlaka yoyote iwe Polisi au TRA juu ya Motor Vehicle Licence, ni mwendo wa Stika ya Bima na Inspection tu...Labda waibue stika za fire!
Hizo sticker za fire nadhani zitarudishwa sasa sidhani kama wataanza kukata kwenye mafuta pia.
 
Mkuu naomb niipate moja gari hapo namim nianze kudrive,tafadhali?
 
Tofauti ya panya BUKU na fesi BUKU ni nini?
 
Kumbe madeni yanalipwa kwanza? Maana mimi roho imeniuma wiki iliyopita nimelipa 1,087,500 kodi ya kuanzia 2015 sasa niliposikia wamefuta nusu nilie kuwa ningejua ningesubiri. Ila kama watadai madeni ya nyuma kabla ya uamuzi huu nitajiona mjanja vinginevyo bado naugulia maumivu!
madeni yamesamehewa
 
Kwa usumbufu Wa Tz watanzisha sticker nyingine, mnakumbuka mkapa alitoa ukomo Wa license za duka kikwete akazirufisha,usumbufuwake huko jiji ni hatari
 
Back
Top Bottom