Sasa Magari yetu pendwa kurudi barabarani

Hivi hii inamaana mtu aliyekuwa ame park labda sababu anadaiwa hiyo motorvehicle za nyuma inamaana ndo basi tena ikifika julai anatafuta bima tu au denu lipo palepale.. Maana kuna mtu aliniuliza hii kitu nika mute kwanza..
Nikutafuta bima tu boc kuanzia 1st July
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom