Sasa hivi saa nne na dakika 30 unafanya nini?

Sasa hivi saa nne na dakika 30 unafanya nini?

Wa bar utakuwa ww, kuna mambo mtu akiandika unajua n uongo tuu, ww endelea kuchat hapo mpaka utakapopitiwa na usingizi, hakikisha umeweka net iliyowekwa Dawa ya kuzuia malaria 😎

😂😂 ujue watu wanaweza kukuamini wewe wakaniacha mimi muhusika
 
Huna hata chembe ya uwezo huo

Ungenijua nilivyo kichaa regardless napitia nini akili ni ile ile 😂😂

Sema najua unajua, kila mtu humu anajua how crazy nilivyo so karibu nilipo hapa

Kesho pia nitakuwepo hapa kama nilivyoahidi🔥🔥
 
Ungenijua nilivyo kichaa regardless napitia nini akili ni ile ile 😂😂

Sema najua unajua, kila mtu humu anajua how crazy nilivyo so karibu nilipo hapa

Kesho pia nitakuwepo hapa kama nilivyoahidi🔥🔥
Nipe location, kama n karibu nakuja sa h
 
Niko natazama TV tu hapa, huku naperuzi kwenye cm yangu.
 
Back
Top Bottom