SAwa kaka nimekumisi mnoBro kanijibu nilipokuquote kule 😎
SAwa kaka nimekumisi mno
Duuh nice to see you again!Bro kanijibu nilipokuquote kule 😎
Unaendeleaje lakiniKajibu kwanza achana na hizi bro
Unaendeleaje lakini
Pamoja kaka pambana sana utakaa fresh tu upande wa kliniki si unaenda kama kawa pale ocean road?Nakomaa bro
This life is not for the weak
Imenikazia mi naichekea kmmk
Mtungi ndiyo uliamua kuupiga chini 😂 sema fresh komaa bi na tri mixer shoulder vikatike hivyo kula weight babaaYan kwakua tuko na mshkaji hapa lazima mpaka sherehe iishe. Mimi sio mdau wa kula kula kwenye haya matukio hapa nilishajijia nimeshiba vizuuuuri , niko tu na box yangu kubwa ya juice nangoja matukio yaishe..
Ahahaha....mitungi hapanaMtungi ndiyo uliamua kuupiga chini 😂 sema fresh komaa bi na tri mixer shoulder vikatike hivyo kula weight babaa