Hilo ni somo jingine, ila sasa hivi muda wa kudadafua hilo sina. Kiufupi hata mimi nilishangaa zamani wajasilimali fulani wakiendesha biashara zao bure, eti matangazo ndio faida yao.Wow huo ni mfumo mzuri bali ni wa kushangaza, maana Bima ni biashara, sasa sijui ni vipi wemye kuendesha bima wanajipatia faida ikiwa kila siku kazi yao ni kuwalipia wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu kila siku na kupindukia na walicholipa kwenye bima.
And why mnapenda kuvaa masuruali ma3 au ma4 mkiwa kazini?Natumaini boss una mkwanja mrefu sana maana si kwa dharau hizo. Hongera.
Kwani ukiichangia serikali unapungukiwa mini?Basi haina haja ya kwenda kwenye hosptali za serikali. Bora uende private hospital tu kule kunakojulikana huduma ni ya kulipia.
Achana na huyo mjita mjinga kwa jina la Mkaruka,na walamba Miguu wa Samia asikusumbue kichwa ni mpumbavuOf course upo sahihi, hatupaswi kucompromise afya zetu lakini unadhani ni sahihi kwa serikali kutokutoa huduma za afya kwa raia wake? Kodi tunalipa, tozo tunalipa, rasilimali kama vile madini na vitu vingine serikali inapata hela. Viongozi wanatembelea V8 za 500,000,000. Unadhani serikali bado haina wajibu wa kutoa huduma za afya bure kwa raia wake?
Basi acha niichangie inunue mavi eite ya wakurugenzi.Kwani ukiichangia serikali unapungukiwa mini?
Walipokuwa wanaiba kwenye uchguzi ule haya ndio malipo yake.Leo nimempeleka wife kumfanyia vipimo na matibabu nikidhani labda kwa sababu ni dispensary ya serikali huduma itakuwa bure lakini cha kushangaza kila kitu unalipia. Kuanzia kumwona daktari unalipia. Vipimo vyote unalipia, dawa zote unalipia. Kiufupi kila kitu unalipia kwa 100%.
Sasa nimeshindwa kuelewa serikali inaposema tunalipa kodi na tozo ili kuboresha huduma za afya. Huduma gani wanaboresha kama kila kitu tunalipia? Hii nchi sijui imelogwa na nani?
Majitu ya hovyo sana hayo matapeli ya kisiasaNdugu achana na Hawa wanasiasa uchwara wanaosema matibabu bure.pesa za kuwanunulia magaidi chipsi zilipatikana lakini pesa za matibabu kwa raia wake Ni shida.hatuna serikali yenye dhamira njema kwa raia wake.
Ni kweli bora ukae tu usubiri kufa kwasababu unapoteza nguvu na muda kupambanaImani za watu hizi sasa!!!! Na umasikini mtu kapangiwa ata apambane vp hatoki,DU!!!!!
wanaccm ukiwaona hapa wanavyojigamba unaweza kudhani wametoboa aana kimaisha😅😅😅Natumaini boss una mkwanja mrefu sana maana si kwa dharau hizo. Hongera.
Kwani kuboresha ndio maana yake bure?Maboresho ni kuhakikisha huduma zinapatikana,affordabke,bora na endelevu.Kwa hiyo serikali inadanganya inaposema tulipe kodi na tozo ili iboreshe huduma za afya?
kama nimemwelewa vzr hoja yake ni kuwa kama tunalipa kodi na tozo mbali mbali kwa nn tena ukienda kutibiwa utozwe tena.kwa hiyo hapa issue si bima ni kama double payment.Kwani huna bima mkuu?
Kwahiyo wewe hapo ni mlamba miguu wa Mbowe ???Achana na huyo mjita mjinga kwa jina la Mkaruka,na walamba Miguu wa Samia asikusumbue kichwa ni mpumbavu