Sasa gonga beat ya MUZIKI pasipo Computer Wala Kinanda bila kwenda studio kuepuka gharaza za Bei kubwa studio. Najirekodi mwenyewe Kisha peleka Radion

Atii ulkuwa muke ya munyapara mukuu kule kwa geresa ulikuwa
 
I haven't wife, duuuuu......
 
Afu kumbe MTU mzima 40+ jamani msizuie watoto kucheza udogoni hii ndio athari...
 
mara paaaaaa...jamaa kawa raisi wa JMT, tunarudi kulekule😄😄....hivi Don harakati zako za ukombozi wa taifa limeishia wapi? huna hbr hili taifa linakuhitaji sana muda huu?
 
Hapana mkuu confidence ya uharo jamaa anafanya vitu vys kitoto Toto kama ni comedy hana nyota hiyo na age yake na vitu anafanya ni utopolo Mtupu kuna kitu alikosa kwenye malezi sio bure
 
bwana deo hivi nani alikudanganya kua ukipotea humu kuna watu wanakumiss!!?
 
Don ungekuwa umeenda Nchi zilizoendelea kidogo tuu tungekujua kimataifa una uthubutu sana na hilo wengi hawana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…