Sasa gonga beat ya MUZIKI pasipo Computer Wala Kinanda bila kwenda studio kuepuka gharaza za Bei kubwa studio. Najirekodi mwenyewe Kisha peleka Radion

Mwaka huu lazima uchukue Grammy Awards. Ndio maana Diamond tumbo la kuharisha lilimshika amekimbia South Africa kwenda kujipanga, anajua moto wako wa album uliotoa ni wakuotea mbali.

Kwanza unajua kuvunja mayai, lugha ya malkia haikupigi chenga. Kama nakuona ukitoa speech matata siku unakabidhiwa tuzo za Grammy.View attachment 1771662
Atii ulkuwa muke ya munyapara mukuu kule kwa geresa ulikuwa
 
Mwaka huu lazima uchukue Grammy Awards. Ndio maana Diamond tumbo la kuharisha lilimshika amekimbia South Africa kwenda kujipanga, anajua moto wako wa album uliotoa ni wakuotea mbali.

Kwanza unajua kuvunja mayai, lugha ya malkia haikupigi chenga. Kama nakuona ukitoa speech matata siku unakabidhiwa tuzo za Grammy.View attachment 1771662
I haven't wife, duuuuu......
 
Afu kumbe MTU mzima 40+ jamani msizuie watoto kucheza udogoni hii ndio athari...
 
mara paaaaaa...jamaa kawa raisi wa JMT, tunarudi kulekule😄😄....hivi Don harakati zako za ukombozi wa taifa limeishia wapi? huna hbr hili taifa linakuhitaji sana muda huu?
 
Hakika mkuu umeongea point ambayo wengi hawatakuelewa
Tunafeli maisha 7bu ya kutothubutu
Jamaa anauwezo mkubwa wa kuthubutu
Na anasimamia na kukomaa nacho anachokiamini
Ingawa wengi huisi DISHI limeyumba lkn sivyo hii ni kutokana na misimamo yake ambapo ipo tofauti na vijana wengi wa kitanzania
na zaidi jamaa alileta mpk vyeti vya kuthibitisha kuwa yeye yuko sawa
Mfano tafuta animation fulani hivi inaitwa EPICau Soma historia ya huyu Bi dada Jane Goodall Utagundua kitu
Hapana mkuu confidence ya uharo jamaa anafanya vitu vys kitoto Toto kama ni comedy hana nyota hiyo na age yake na vitu anafanya ni utopolo Mtupu kuna kitu alikosa kwenye malezi sio bure
 
bwana deo hivi nani alikudanganya kua ukipotea humu kuna watu wanakumiss!!?
 
Don ungekuwa umeenda Nchi zilizoendelea kidogo tuu tungekujua kimataifa una uthubutu sana na hilo wengi hawana...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom