Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

Fedha zetu za rudhuku ndo mnawapoza wajumbe kwa kuwanunulia hayo marangi rangi ili kuwafunga mdomo wasiulize matumizi yake!!!
Wenzenu wa kijani mbona wanajinunulia wenyewe ,nyinyi mnatumia fedha hovyo hovyo tu.
 
Hao walisema wakipewa nchi watabadilisha rangi ya bendera ya Tanzania na kuifanya ifanane na CHADEMA
 
Upinzani nchi hii bado sanaaaa
Natamani sana kukuunga mkono ila hekima hiyo ndio ilimfanya yule kunguru rangi mbili kujikuta anafutika hapa Dasilama hivi hivi alipoambiwa kuwa kuna kunguru mweusi tii kaletwa na muungano kutoka Zenji. Kunguru rangi 2 kabakia kubisha; Aaaah aaah aaah. Leo yuko wapi hapa Dasilama?? Laiti angesikia maonyo akaitisha kikao cha upatanisho. Leo wangegawana jiji. Wageni wakapewa Obay na wenyeji wakakaa Ilala boma. Si amani ingekuwepo?? Tafakari, chukua hatua. Ningetamani tugawane miji kwa amani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom