Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

Dafatri la wapiga kura limeshafungwa nadhani...chadema sikuona wakihimiza watu kwenda kujiandikisha kama mwaka 2015...watu hawataki kuona ukweli...
Lowassa kwenye mikutano yake na waandishi wa habari hili lilikuwa kipaumbele chake.

Kabla ya yote jiandikisheni.
 
Kijana nakupa kazi ya kutoa promo kwenye kilabu changu cha ulanzi kwa maana unavyojua kumwaga sifa za kijinga inabidi nikuajiri kama kijana wa promo
 
Kijana nakupa kazi ya kutoa promo kwenye kilabu changu cha ulanzi kwa maana unavyojua kumwaga sifa za kijinga inabidi nikuajiri kama kijana wa promo
Hakuna tajiri anayeweza kuajiriwa , vipi kwenye rushwa ya pikipiki kyela na wewe uliambulia ?
 
Utafikiri za Congo au Burundi,maana ndio wanapenda rangi rangi kama hivyo.
 
Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam , dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania , kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo .

Lakini sisi wengine tumejiongeza kidogo na kuamua si tu kufuatilia mkutano wenyewe bali pia kuangalia hata mandhari ya ukumbi ikiwemo na unadhifu wa wahudhuriaji ( siyo wajumbe )

Hakika huu uzi si wa kitoto ! Natoa wito kwa Chadema kuwa na CHADEMA SHOP ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wanaozisaka sare hizi mpya bila mafanikio na huku soli za viatu vyao zikipukutika , waigaji wajaribu na hili nalo tuone kama wataweza .

Mungu ibariki CHADEMA

Chadema Kuna wanaume jamani...very smart upstairs na by look ..Kama Kuna pimbi zinadhani chadema itakuja kufa Basi watakufa wao kwa Tezi dume! Gowjaz
 
Hakuna tajiri anayeweza kuajiriwa , vipi kwenye rushwa ya pikipiki kyela na wewe uliambulia ?
Hah hah mimi si mla rushwa kwanza napinga muundo wa uchaguzi kwa wana CCM,sababu ni kuwa mtu aliyestahili kuwa refa nae anacheza ,kwa mfano Mwenyekiti wa CCM wa wilaya nae kugombea ubunge wkati akiwa bado ni mwenyekiti hii inakuwa si sawa,kwanza wajumbe wote wako chini yake,sasa hapo hauna fairness kwa wagombea wengine wasio na nyadhifa kwenye chama,simfagilii huyo mtoa pikipiki unayemsema kwa kuwa uongozi wa kununua muuzaji lazima apate faida,kwa mimi hao waliooongoza kura za maoni ningekuwa mimi wote ningewaacha ningechukua wale wa kura 20 kama Kipija,Kipija si mtoa wala mla rushwa. Tunakoenda hizi chaguzi na hawa wajumbe wetu mwisho wake tutakuja jilaumu wenyewe,bahati mbaya SACCOSS yenu ni kama haina mgombea huko kwenu,afadhali mgemuomba jamaa wa London awe mwakilishi wenu naamini angetoa upinzani mkali na hata kuweza kushinda kwani ni kama CCM Kyela imegawanyika kati ya hao watatu waliongoza kura za maoni
 
Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania, kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo .

Lakini sisi wengine tumejiongeza kidogo na kuamua si tu kufuatilia mkutano wenyewe bali pia kuangalia hata mandhari ya ukumbi ikiwemo na unadhifu wa wahudhuriaji ( siyo wajumbe )

Hakika huu uzi si wa kitoto ! Natoa wito kwa Chadema kuwa na CHADEMA SHOP ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wanaozisaka sare hizi mpya bila mafanikio na huku soli za viatu vyao zikipukutika , waigaji wajaribu na hili nalo tuone kama wataweza .

Mungu ibariki CHADEMA

Big up CHADEMA. Ni YEYE 2020.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom