Its sad!View attachment 506046View attachment 506047stupidity of human race[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji778] [emoji777] [emoji778] [emoji777] [emoji778] [emoji777] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Fungua darasa tujeMbona mwenye uzi wake kakiri kosa lake... rekebisha ulichoandika kwanza nawe ili ueleweke...Sio mazara ni madhara kwenye boya sijakuelewa...siku nyingine uandike 'si' na sio 'c'.
Tukienzi kiswahili chetu kwa kukitumia kwa ufasaha.
Ahsante.
We bibi hivi huwezi kumkosoa mtu kwa utaratibu mbona unakua hivyo? Au ndio roho mbayaHebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
ohooo [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hakanyiki huyo kishazowea kuwajaza watu ujinga, si ara yake ya kwanza hii. Nilimueleza siku nyingi kuwa labda atapodanganya nisipaone. Hakomi.
wewe Ajuza ndo Ufiche upumbavu wako umelishwa limbwata na CCM ila hakuna marefu yasiyo na nchaWewe nae hebu ficha upumbavu wako. Si kila kitu unaunga mkono tu bila hata Gautama ukweli.
Uliisikia wapi "vita ya Bosnia na Chechen" kabla ya leo kutoka kwa huyu mleta mada anaejaza watu ujinga?
Muktadha mkuu 'fact' ni kwamba vita haijawahi kuwa suluhisho la matatizo.Hebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Ninajua kabisa ni nchi mbili tofauti lakini zote ni Vita Takatifu za kuondoa mizizi ya dini mbaya Ulaya ya MasharikiHuko wapi? Na wewe ndiyo wale wale "Chechna Bosnia" kama huyo mleta mada!
Punguani mwengine, mnaelimishwa badala ya kusoma mkaelewa mnaleta ujinga.