Hivi ktk dola ya kimarekani kuna sarafu? Na dola kubwa kabisa ni dola ngapi wakuu!
Acha mawazo ya kibawacha wewe kila kitu wewe unawaza siasa tu kitasa kweli wewe.
dada watoto huwa unapikia saa ngapi?
Yaani masaa 24 mtandaoni.
Acha mambo yako wewe huku mitaani wafanyabiashara ndogondogo na zakati noti ya 10000 kupata chenji kazi sembuse noti ya 25000/:
Lakini kwa kweli kwenye mzunguko wa kifedha tunahitaji noti zenye thamani zaidi ya Sh 10,000, suala la kusema litazidisha mfumuko wa bei BOT ijipange vizuri kulidhibiti, angalau ziwepo za Sh 25,000.. manake ni usumbufu mkubwa sana kwa wale wafanyao biashara kubwakubwa za fedha taslim..kubebana nazo ni hatari hatari hatari, hawana amani kabisa..
Hahaaaa jamaa wanatishaHata akaunti za epa zilifunguliwa jpili
dada watoto huwa unapikia saa ngapi?
Yaani masaa 24 mtandaoni.
Bado sarafu ya 10,000
Hii tathimini ya wapi kumbe sarafu mpya ikitoka ndiyo uchumi kushuka hiki nacho sijui ni kichwa gani cha huyu jamaa.