Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

Hivi ktk dola ya kimarekani kuna sarafu? Na dola kubwa kabisa ni dola ngapi wakuu!

Ipo note ya dollar 1000 mkuu ingawa zaidi huko kwao, haipo kwny mzunguko huu wa kawaida, coin pia zipo ila huku kwetu hazitumiki,
 
Acha mambo yako wewe huku mitaani wafanyabiashara ndogondogo na zakati noti ya 10000 kupata chenji kazi sembuse noti ya 25000/:

Duuh we kweli ni Wildfish, ni wapi niliposema noti zilizopo ziondolewe mzungukoni ? Soma taratibu uelewe..napendekeza ziwepo pia noti zenye thamani kubwa zaidi..
 
Mpaka sasa sarafu za Tsh.5, Tsh10, naTsh.20 ni sarafu halali ingawa hazitumiki mahali popote kununua chochote
 
Hii ni EPA mpya! Hawa mafisadi wameona watumie kisingizio cha kutengeneza sarafu mpya ili wachote fedha za umma na kuzijaza kwenye matumbo yao mapana kama pakacha na ambayo hayajai kamwe. Ipo siku UFISADI huu wanaoufanya utakuja kuwatokea m@k@|i0ni mwao.
 
Lakini kwa kweli kwenye mzunguko wa kifedha tunahitaji noti zenye thamani zaidi ya Sh 10,000, suala la kusema litazidisha mfumuko wa bei BOT ijipange vizuri kulidhibiti, angalau ziwepo za Sh 25,000.. manake ni usumbufu mkubwa sana kwa wale wafanyao biashara kubwakubwa za fedha taslim..kubebana nazo ni hatari hatari hatari, hawana amani kabisa..

baba lako mmarekani hana zaidi ya dollar mia....
 
Haishushi uchumi wetu maana sio note ya masarafu mengi bali ni kubadili toka kwenye karatasi enda sarafu.
 
Hii tathimini ya wapi kumbe sarafu mpya ikitoka ndiyo uchumi kushuka hiki nacho sijui ni kichwa gani cha huyu jamaa.

Mie sitaki kubishana na vilaza kabisa!
Nenda kasome kwanza uelewe kinachosababisha conversion!
Kukaa na kubishana na watoto wanaojifanya wanajua kila kitu wala sio hulka yangu!

Go and learn daughter!
 
2nazid ku devalue pesa yet, duuh kikwete na serikal n upuuz mtup ,soon 2takuw na coin ya elfu kumi, mmh chagua c c m kwa kax mpy na maendeleo yeny kac zaid, wamethubutu !
 
Wanatafuta pesa za uchaguzi hawa jamaa,kila tukikaribia uchaguzi lazima wabadili hela!! Ni kupiga chapa nyingi zingine mnabaki nazo.
 
Back
Top Bottom