Nije nimevaa Uzi Gani sasa maana mimi siko upande wowote πUje tulewe tuka strem game ya simba na uto
Matunda tuyale kama chakula tu, hizo mambo za kula kwa maelekezo ya kidaktari zilishapitwa na wakatiπUkipewa na mwenye pesa ni tofauti kidogo.
Unakuwa hauna Nguvu sana.
Atakwambia "Sorry baby twende Dubai tukapumzika,"
Baada ya hapo tuanze dawa na kutumia matunda kwa wingi. ππ
HIV yenye nguvu na kuanza kuonyesha Dalili zote kwa siku Moja ni ule wa
"Samahani salma tuvumilie tu na hivi sina Hela sijui tutafanyaje kuhusu kula matunda"π
Hata nauli ya kwenda hospital Sina.
Hapo lazima Vidonda vianze kujitokeza mdomoni na nywele kunyauka.
Usiogope jamani π π πHapana mmeweza wakuu
Asanteni
Sawa.Thimba π pensi na raba
Kabisa! Tufunge masikio tufungue (β¦)
Andaa na Kinga kabisa.Wewe siwezi chomoaπ
π π π Kwa nini?π π π nimecheka mpaka bia yangu imetokea puani
Katika kitu nachowapendea maex wangu basi ni kutonipa ngoma.Sasa kama walio wengi wanakuambia UKIMWI ni ugonjwa, elimu ipo kweli?
Wanakuambia Mwamposa anaitibu hiyo.
Wanakuambia kuna mitishamba yake.
Wanakuambia utumie "futa jingi".
Wanakuambia ni "Mungu" tu anawaokoa.
Watanzania hawaishi kwenye uhalisia kabisa.
π π π Niko njiani tutajua nikifika hapo πNataka umate umateππ si tunapimaπ
Doze doze π π πNgoja nipige push up nipate nguvu kwanzaπ
Sitak tenaUsiogope jamani π π π
Vitu vitamu hivo
Duuh,Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Haha,Huku mtaan kuna kauli mbiu yetu "wese jingi zero friction piga tako mbili za afya" min -me tutapona kweli au tumeshaunguza mkeka