Sandakalawe....jitahidi unaweza ukajishindia muda wa maongezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sandakalawe....jitahidi unaweza ukajishindia muda wa maongezi.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Consigliere, Nov 15, 2011.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,032
  Likes Received: 7,434
  Trophy Points: 280
  Hii ni Post yangu ya 499.
  Nimeshamaliza kuuza Binzali yangu sasa kale kafaida ningependa nishirikiane na yeyote katika kukala.
  Jaribu kuandika kitu kitakachoniudhi au kunifurahisha na kufanya Post yangu ya 500 iwe ni jibu nitakalokujibu.
  Nasitisha kutuma au kuchangia Post nyingine mpaka hapo kesho saa nne asubuhi ambapo nitatangaza MSHINDI, na kum PM zawadi yake (ambaye Tayari mtakuwa mnamjua, kutokana na zoezi lenyewe kuwa wazi huru na haki kuliko zoezi la kupiga kura)
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Join date sept2010 post 499. Kweli una hitaji muda wa maongezi
   
 3. u

  utantambua JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Binzali bado inatumika katika mboga miaka hii?
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hawa "PREMIUM MEMBERZ" kweli kizungulumkuti!! lol!! ni njia nzuri ya kujipromot!!
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Binzali ndio nini?
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Hisia zako unazijua mwenyewe. Hebu usituchoshe akili.
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umeoa mkuu?
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  vocha naitaka, ila mashindano sitaki, tenda haki!
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Napenda saaana Zawadi.... Ila tu kwa hili kama in-case nimeshinda nitaomba mimi ndo nikupe zawadi.... Is it allowed?? I wonder.... Post yangu inahusu kujaribu kukufafanua.... kwa upeo wangu ulipoishia....

  Umetumia jina la Consigliere... Nimewahi uliza kwa one of a friend of mine neno Consigliere ni nini?? Nikaambiwa... NO' It is a name not a word, a name Chosen out of the Movie ya one of my Favourites Writter Mario Puzzo... Hilo jina likiwa owned by one of the most trusted person by Don Corleone of the Famous book/movie of "GOD FATHER" An all time movie.... Alipo niambie hivo that is when i noted as much as i appreciated the Lawyers part in the movie.... I never really did catch his name na i have watched the Movie more than 15 times....

  Naangalia tena Avatar ulochagua.... Mara ya kwanza ilikua inanichanganya nikifikiri Mzizimkavu kabadilisha Jina... Only to notice no.... you are you. Then nafikiri kaweka picha ya one of the Great minds ever born hapa duniani... Just after kifo chake (Steve Jobs may he rest in peace) Thank God post zako as much as ni chache si haba.... Hukurupuki... I first noticed and knew you kwa post yako ya kwanza kati thread yangu ya Siasa Related.

  Na observe signature as i always do za members woote... I relate it to the name you have chosen, to the Man who presents the man behing and i see zimeshahabiana saaana.... Na i say to myself, kwa vovote vile this man knows what he wants in life, how and where to get it. Na nafurahi for ni wachache wana bahati hio....

  I may however be wrong... But No matter how wrong i am, that ... what i have written is what and how you look at JF, At least to me.... Hasa nikiunganisha na comment yako katika thread ya JF Super stars on the whole aspect ya kujiamini....

  I pray God I win.... Dah! Mpaka mkono umeuma na ubongo kufikiria.....lol....


  Pamoja Saaana

  AshaDii.
   
 10. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuku kuku jogoo jina tu!
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Umeniwahi...nilikuwa nataka kuandika mambo haya haya,ukishinda tutagawana zawadi...
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Vin umepotea kakangu' why??
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hehehe! We dawa ni kuporomoshewa mitusi hadi utajibu mwenyewe. Ngoja nikachukue dictionary langu la matusi kwa klorokwin.
   
 14. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Walichoandika AD na VD ni uongo, kujipendekeza kuliko tukuka kwako. Wamekugeuza JK kwa vizawadi vya "airtime" uchwara kama mkuu anavyopotoshwa na washkaji zake na kuwatunukia vyeo mbalimbali. Hilo jina kwenye "Godfather" na wala sio "God father" halipo. Nahisi AD kwa kuwa ni small house yako hivyo ni wajibu wake kulilinda penzi. Jina hilo maana yake "mtu mwenye hulka za kifedhuli, baradhuli, kishenzi, hila mbaya, nyang'au na jasusi." potea na kivocha chako cha jero hapa hupati mtu. Fisadi hana jema!
   
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa post yako ya 500 sisi ndio tunatakiwa kukupa zawadi, not the other way round! nakualika for a drink and a social evening!
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Nasoma post yako na my first reaction ni kushangaa.... Thank God sijakwazika, ila umenifanya niwe interested, kwamba why are you so angry?? Why yaonesha katika maisha wachukulia the pessimistic side instead ya kua optimistic, kwanza kabisa analysis ya God Father, pili hii thread na tatu maisha yalokuzunguka hasa Serkali yetu na mizengwe yake....

  Unanifanya niende kwenye Profile nikupate na kukusoma zaidi... Narudi Kwenye jina ulochagua "Mkono mtupu" ina maana nyingi saana... Nikiunganisha na Avatar ulochagua na your pessimistic nature naweza sema ulikua unamaanisha "Mkono mtupu haulambwi" hivo wewe huna mercy dhidi ya walo kuzunguka.... Then narudi kwenye signature yako inayosema "Nipotezee Kiana" The I get the full picture.... You have been deprived of your wishes na sasa you are fade up.... Na most importantly you have been deprived of Love... From walokuzunguka, wale ambao unakua na mahusiano nao na Serkali yako..... The i say to my self "Mkono mtupu" is my new project wheather he likes it or not.... Too much anger in him and it is not healthy..... Mkuu do take care...

  Pamoja Saana

  AshaDii
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Watu kujifanya wanawajua wenzao kupitia majina bandia inachekesha
   
 18. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  ....Duh!

  ..Unaweza kuwa Fortune teller..
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Nasoma comment yako... Narudi kwenye jina, "Tigger" then inevitably naenda kwenye Signature yako.... Naunganisha dots..... Huku telling myself be careful of this wity member (maybe it is because i know your prominent Alter the so famous name hapa JF ambayo ipo behind bars... That alone inaniambia kua it is beta i say no more for i am already in trouble with the member kwa ajili ya mambo haya haya ya kujifanya namjua member kwa jina la bandia..... Na najuta why ever i had used the word "eccentric" to define the person in question. Hivo naona kabisa wacha ni heed hayo maneno (T-I-double geh err)

  "astara vista amigo"

  AshaDii.
   
 20. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Hee, Ashadii kulikoni leo?
   
Loading...