Sandakalawe....jitahidi unaweza ukajishindia muda wa maongezi.

Hee, Ashadii kulikoni leo?

Hakuna lolote Tanmo....lol... Mbwembwe tu za kuhakikisha napata zawadi, nimefulia saaana. Tanmo that Kid hunifanya nikumbuke wanangu at that age, kako so cuuuuute!
 
Majukumu ndio yalinibana kidogo... ila sasa mambo safi...mic u...
Huyo jamaa wa juu hata sijaona cha kumjibu.
Nilitaka kusema kitu ili nikakumbuka tupo chit chat....

Pole... Majukumu is good hasa kwako ambae ni kijana..... Missed u too
Kuhusu hii thread as much as ni Chit Chat, ndo maana ilinipa Confidence
kwamba i am half serious and half not... why not try just for fun...lol...

Hebu sema ulotaka kusema bana wacha kubania (hakikisha usinipiku kupata zawadi)
 
Si wajua tena ndugu kuna wakati akili zikagongana kwenye jambo moja....hapa umeniwakilisha vizuri sana...lol
 
Tulizo habari yako bana....

Niko hapa hapa..ila muda kidogo unanipiga chenga kupita JF mara kwa mara..kwani nimeshaanza kuandika siku ukutani na kuzipunguza kwa slash..nikiwa njiani kurudisha majeshi moja kwa moja kule nyanda za juu baada ya kupambana na wakoloni mamboleo kwa muda mrefu...:)

BTW..ni vigumu kuchoka kusoma post na analysis zako..Salute!
 
Walichoandika AD na VD ni uongo, kujipendekeza kuliko tukuka kwako. Wamekugeuza JK kwa vizawadi vya "airtime" uchwara kama mkuu anavyopotoshwa na washkaji zake na kuwatunukia vyeo mbalimbali. Hilo jina kwenye "Godfather" na wala sio "God father" halipo. Nahisi AD kwa kuwa ni small house yako hivyo ni wajibu wake kulilinda penzi. Jina hilo maana yake "mtu mwenye hulka za kifedhuli, baradhuli, kishenzi, hila mbaya, nyang'au na jasusi." potea na kivocha chako cha jero hapa hupati mtu. Fisadi hana jema!
This quote will help"The word consigliere comes from the Italian for counselor or advisor, most famously for anorganized crime boss. In Mario Puzo's Godfather movie series, Robert Duvall's character Tom Hagen is a consigliere to the fictional Corleone crime family.

Although Hagen is a practicing lawyer, the role of a consigliere is not limited to legal advice or protection. A consigliere is also third in command of the entire
Mafia family, and has the executive power to make decision in the boss' stead. Only the underboss, usually a blood relative to the boss, has more authority than the consigliere in an organized crime family.

The role of a consigliere is a remnant of medieval times when nobles of a conquered court would make themselves available to the new monarch. Only the most trusted and knowledgeable nobleman could become a consigliere, and he may serve several generations of the ruling family.

A consigliere could be replaced when the political winds shifted, but monarchs tended to keep only one consigliere at a time to avoid possible betrayal.
 
Napenda saaana Zawadi.... Ila tu kwa hili kama in-case nimeshinda nitaomba mimi ndo nikupe zawadi.... Is it allowed?? I wonder.... Post yangu inahusu kujaribu kukufafanua.... kwa upeo wangu ulipoishia....

Umetumia jina la Consigliere... Nimewahi uliza kwa one of a friend of mine neno Consigliere ni nini?? Nikaambiwa... NO' It is a name not a word, a name Chosen out of the Movie ya one of my Favourites Writter Mario Puzzo... Hilo jina likiwa owned by one of the most trusted person by Don Corleone of the Famous book/movie of "GOD FATHER" An all time movie.... Alipo niambie hivo that is when i noted as much as i appreciated the Lawyers part in the movie.... I never really did catch his name na i have watched the Movie more than 15 times....

Naangalia tena Avatar ulochagua.... Mara ya kwanza ilikua inanichanganya nikifikiri Mzizimkavu kabadilisha Jina... Only to notice no.... you are you. Then nafikiri kaweka picha ya one of the Great minds ever born hapa duniani... Just after kifo chake (Steve Jobs may he rest in peace) Thank God post zako as much as ni chache si haba.... Hukurupuki... I first noticed and knew you kwa post yako ya kwanza kati thread yangu ya Siasa Related.

Na observe signature as i always do za members woote... I relate it to the name you have chosen, to the Man who presents the man behing and i see zimeshahabiana saaana.... Na i say to myself, kwa vovote vile this man knows what he wants in life, how and where to get it. Na nafurahi for ni wachache wana bahati hio....

I may however be wrong... But No matter how wrong i am, that ... what i have written is what and how you look at JF, At least to me.... Hasa nikiunganisha na comment yako katika thread ya JF Super stars on the whole aspect ya kujiamini....

I pray God I win.... Dah! Mpaka mkono umeuma na ubongo kufikiria.....lol....

Pamoja Saaana

AshaDii.

Love....in case you win...hiyo zawadi itapitia KWANGU....then ntakuletea...sawa baby?
 
Posts : 500

Duuh......Ilibidi nijitazame kwenye kioo kuona kama ni kweli nafanana na hizo contents, baadae nikagundua kuwa it has nothing to do with the appearance but moral, nikafikiria zaidi nikahisi kama nina sifa hizo basi hata nature inaweza ikanitii so nikajaribu kubeba maji kwenye chujio, hayakufika popote, nikaamuru mlima kuhama lakini ukanihakikishia kuendelea kuwepo pale bila ukomo, nikagundua kumbe hilo ni suala la kiimani.
Nikabeba jembe langu kuelekea shamba huku nikifikiria sana, nikaamua kukaa chini ya mti huku nikitafuna kipande cha mhogo, nikapata swali lingine kwanini mhogo kadiri unavyoutafuna na unavyoelekea kuisha mdomoni utamuweka ndiyo unazidi na kukupa hamu ya kuongeza kipande kingine .......badala ya kuchuja
hapa nilielekea kupata jibu (Majibu juu ya mambo na watu wengine), haraka nikagundua kichwa changu kinaanza kukimbia mada, hakitaki nijifikirie mimi bali nifikirie nje ya mimi, nikajilazimisha na kukirudisha kwenye yale matukio yaliyokataa kumtii mtu anayetazamika kuwa na sifa tajwa, nikagundua kuwa mazingira yapo kwa ajiri ya kutoa chamgamoto na ndiyo maana tukapewa miili yenye viungo na mifupa ili kuzikabili hizo changamoto na tuzitumie katika kujifanikisha kimaendeleo.
Mpaka hapo nikaishia tu kujiuliza maswali lakini hakuna popote nilipofanikiwa kuziona hizo sifa ndani yangu.
Katika kufikri zaidi nikagundua kuwa hili ni suala ambalo akili ya mtu imefumbwa kuligundua bali hufunuliwa kwa wengine na wao kwa upeo wao ndiyo watakuelezea wewe u mtu wa aina gani na utatakiwa uwasikilize, be it positive or negative, you have to take it.

Anaysis
Huwa napenda mtiririko wako wa analysis be the facts wrong or right, naongelea mtiririko wa analysis.

Thinking and acting
In most of your posts you have proven yourself to be real fast thinker and sharp shooter.

Im afraid to say Thanks, but all I can say is noted.

Ila washindi wameongezeka na nitamjibu na kum-PM kila aliyenigusa

Nafurahi zaidi kwani kwa post 500 nimepata likes 206
Ambazo ina maanisha asilimia 41 hadi 42 ya posts zangu zimekuwa liked.

Its a Time Now to hand over The Trophies.

Walichoandika AD na VD ni uongo, kujipendekeza kuliko tukuka kwako. Wamekugeuza JK kwa vizawadi vya "airtime" uchwara kama mkuu anavyopotoshwa na washkaji zake na kuwatunukia vyeo mbalimbali. Hilo jina kwenye "Godfather" na wala sio "God father" halipo. Nahisi AD kwa kuwa ni small house yako hivyo ni wajibu wake kulilinda penzi. Jina hilo maana yake "mtu mwenye hulka za kifedhuli, baradhuli, kishenzi, hila mbaya, nyang'au na jasusi." potea na kivocha chako cha jero hapa hupati mtu. Fisadi hana jema!

Post: 502
Hakika umeniudhi uliichotakiwa kufanya ni kuni attack mimi na si mtu mwingine na mbaya zaidi attacks zako kwake ni blaspheme, hapo ndipo umejishushia na kujipunguzia nafasi yako so utakuwa mtu wa tatu.

Rejea post ya Amiride utaujua ukweli wa hiyo movie na unacho kipinga.

Ushauri wa bure: Punguza Wivu sababu naamini ukiishiwa maneno ya kukandia wenzako kitakachofuata ni kumfungua mbuzi kama na kujifunga mwenyewe ili kuepukana na kero za kuona watu wakipewa appreciations.
 
Nasoma comment yako... Narudi kwenye jina, "Tigger" then inevitably naenda kwenye Signature yako.... Naunganisha dots..... Huku telling myself be careful of this wity member (maybe it is because i know your prominent Alter the so famous name hapa JF ambayo ipo behind bars... That alone inaniambia kua it is beta i say no more for i am already in trouble with the member kwa ajili ya mambo haya haya ya kujifanya namjua member kwa jina la bandia..... Na najuta why ever i had used the word "eccentric" to define the person in question. Hivo naona kabisa wacha ni heed hayo maneno (T-I-double geh err)

"astara vista amigo"

AshaDii.

Wasiwasi wako tu!

Ila ukweli wa mambo ni kwamba kujifanya unajua wakati unajua fika kuwa hujui ni unafiki. Na kujifanya unajua huku hujui kuwa hujui ni ujinga.

Huku huku kujua ndo kumewafanya watu waseme/ wadhanie kuwa wewe ndo wale watu wote ambao umehusishwa nao. Je, wewe ndo hao watu wote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom