Sanaa ya sculpture

Elimu ya kukariri zaidi, inayotufanya tuwe ombaomba, huku wao wakizidi kuja kuchota rasilimali zetu na ustadi wetu na kuupeleka kwao, hakika inabidi Afrika iamke kwenye usingizi mzito iliyopo hivi sasa
Wametufanya watumwa wa kila kitu.. Mpaka sasa Africa tunachojua ni siasa tunayoipq kipaumbele kikubwa kuliko taaluma! Mbunifu hana thamani Africa kama mwanasiasa ama chawa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…