Wametufanya watumwa wa kila kitu.. Mpaka sasa Africa tunachojua ni siasa tunayoipq kipaumbele kikubwa kuliko taaluma! Mbunifu hana thamani Africa kama mwanasiasa ama chawa wakeElimu ya kukariri zaidi, inayotufanya tuwe ombaomba, huku wao wakizidi kuja kuchota rasilimali zetu na ustadi wetu na kuupeleka kwao, hakika inabidi Afrika iamke kwenye usingizi mzito iliyopo hivi sasa