Elimu ya kukariri zaidi, inayotufanya tuwe ombaomba, huku wao wakizidi kuja kuchota rasilimali zetu na ustadi wetu na kuupeleka kwao, hakika inabidi Afrika iamke kwenye usingizi mzito iliyopo hivi sasaVyote hivi asili yake ni Africa lakini wametupoka vyote na kuvigeuza vya kwao.. Tukapewa elimu tegemezi tusahau vyetu🥵