Ni observation tu
Unwarranted observation
Ni observation tu
Sawa mkuu, nimeacha ujinga.acha ujinga wewe,katiba inaliliwa na wanasiasa na wanacholilia ni tume huru ya uchaguzi..sababu wanaamin itawasaidia kufika ikulu
hitajio kuu la tanzania kama nchi siyo katiba,iwe ya warioba au ponda,bali hitajio kuu ni kuimarisha kilimo na viwanda vyake,elimu na biashara
Hahaha...aisee CHADEMA nyie ni wehu kweli kweli
Ahaha ngoja niungane na wewe. Ngoja tusubiri neema na mapenzi ya Mungu tu. Hakuna namna tena.Hapo maana yake tubaki kusubiria neema na mapenzi ya Mungu.
Kwako ndio Hana faida, ila kwangu na kwa wenzangu wasiozibwa na chuki, wivu, visasi na ndugu wa mambo hayo, twamtakia AFYA NJEMA.Apone ili iweje...hana faida yoyote...huyu mtu alibaka katiba ya wananchi hivihivi
Kama tulimsamehe Lowassa tumtendee hivyo pia Sitta.
Tunasubiri mbunge wetu Lwakatare atusaidie pesaWe nshomile wahaya wenzako wamefunikwa na vifusi we uko hapa JF unabwabwaja badala ya kwenda kuwapa pole
Unafiki tena!Yaani watu wamepewa taarifa mwenzao anaumwa then kwenda kumuona ni unafiki??Hii nchi tunaelekea wapi??Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
![]()
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
Na mimi ndo nilikua namsaka page zote sijaona comment yke,hawa mod wasilete utani wamlete huyo bint Sitta...Diana Sitta amejibu page ya ngapi?
Kwa Lubuva No haiwezi kupita. Ndio walewale kina Sitta wanaochumia tumboMungu ampe maisha mzee wetu aje ajionee jinsi wananchi watakavyoipinga katiba yake chini ya tume ya Lubuva .
Kwa Richmond alikuwa na agenda yake mfukoniPole Baba,Kweli ulileta Mapinduzi ktk binge tukavutiwa nalo ilikua motooo,Richmond....binge lili balance has a mpaka kufikia upinzani na Ccm kuungana kupigania jambo moja!!
na yalikosea sana, habari kubwa ni ya janga la tetemekoJana ilikua sikukuu ya Eid Alhaji. Magazeti yote yameipa coverage kubwa sana sikukuu hii isipokua gazeti hili
Kajibu page ya kwanzaNa mimi ndo nilikua namsaka page zote sijaona comment yke,hawa mod wasilete utani wamlete huyo bint Sitta...