Pole nyingi Mzee wa kasi na viwango vya kuchakachua katiba mpya, there is very little sympathy from some of us, ulitukera na kutusaliti beyond measure! None theless get well soon uendelee kuishuhudia Tanzania yetu inavyodidimia!Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
![]()
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
Aiseee, kumbe unakubaliana kwamba "wajumbe" wetu wa Bunge la katiba walituharibia katiba yetu? Maana UKAWA walionekana ni wahuni mbele ya wabunge wa CCM na wafuasi wao. Kumbuka UKAWA ulitokea hapo baada ya kuona wajumbe hao unaowelezea wanakubaliana kukanyaga maoni ya waTanzania.Kumbuka yeye alikuwa msimamizi tu na hakuwa ndiye mwenye kufanya maamuzi ya mwisho. Ila wale wabunge wa bungee maalumu la katiba ndio wa kulaumiwa kwa ujumla wao.
Unachosema ni kweli kabisa na ndio maana mimi binafsi nilikuwa nawaunga sana mkono UKAWA kwa jinsi walivyokuwa wanasimami katiba pendekezwa ya wananchi. Ila mnh baadae mambo yakabadilika. Anyway nawaelewa lakini. Target ya mwanasiasa siku zote ni moja tu na siasa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na tukumbuke nao wanatafuta kipato vile vile.Aiseee, kumbe unakubaliana kwamba "wajumbe" wetu wa Bunge la katiba walituharibia katiba yetu? Maana UKAWA walionekana ni wahuni mbele ya wabunge wa CCM na wafuasi wao. Kumbuka UKAWA ulitokea hapo baada ya kuona wajumbe hao unaowelezea wanakubaliana kukanyaga maoni ya waTanzania.
hitajio kuu la tanzania kama nchi siyo katiba,iwe ya warioba au ponda,bali hitajio kuu ni kuimarisha kilimo na viwanda vyake,elimu na biasharaHuruma ya nini? Unajua huyu mzee ameathiri vizazi vingapi kwa kuichakachua rasimu ya katiba ya warioba. Mwache avune maovu aliyoyasimamia
yaan kisa katiba!..kuna nini cha mno kwenye katibaMungu anatuona hapa hapa duniani....Nimeamini
All in all, baada ya hiyo baadaye katiba ya wananchi ilikanyagwa na wajumbe waliobaki ndani ya Bunge la katiba na wakaiandaa hiyo waliyoiita pendekezwa. Sasa tuwaunge mkono hawa wa pendekezwa au wale wa UKAWA? Au tusubiri neema za Mungu?Unachosema ni kweli kabisa na ndio maana mimi binafsi nilikuwa nawaunga sana mkono UKAWA kwa jinsi walivyokuwa wanasimami katiba pendekezwa ya wananchi. Ila mnh baadae mambo yakabadilika. Anyway nawaelewa lakini. Target ya mwanasiasa siku zote ni moja tu na siasa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na tukumbuke nao wanatafuta kipato vile vile.
Kama tulimsamehe Lowassa tumtendee hivyo pia Sitta.Kosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
Kumbe ndio maana hili gazeti likashabikia ugonjwa wake?Huyu si alisema Lowasa ni mgonjwa
mkuu acha utani.hitajio kuu la tanzania kama nchi siyo katiba,iwe ya warioba au ponda,bali hitajio kuu ni kuimarisha kilimo na viwanda vyake,elimu na biashara
Hujui kilicho ndani ya KATIBA? Kweli safari tunayo ndefu.yaan kisa katiba!..kuna nini cha mno kwenye katiba
Wote wa moja tu wanaangalia maslahi zaidi. Hapo kwenye nani wa kumuunga mkono nadhani inategemea na mapenzi ya mtu binafsi. Ndio maana leo kuna wale washabiki kindikindaki hata kama Chama kinaboronga vipi wenyewe wapo. Kwa hiyo ushabiki wa siasa nowadays upo sana kama Simba na Yanga.All in all, baada ya hiyo baadaye katiba ya wananchi ilikanyagwa na wajumbe waliobaki ndani ya Bunge la katiba na wakaiandaa hiyo waliyoiita pendekezwa. Sasa tuwaunge mkono hawa wa pendekezwa au wale wa UKAWA? Au tusubiri neema za Mungu?
Wote wa moja tu wanaangalia maslahi zaidi. Hapo kwenye nani wa kumuunga mkono nadhani inategemea na mapenzi ya mtu binafsi. Ndio maana leo kuna wale washabiki kindikindaki hata kama Chama kinaboronga vipi wenyewe wapo. Kwa hiyo ushabiki wa siasa nowadays upo sana kama Simba na Yanga.
Wote wa moja tu wanaangalia maslahi zaidi. Hapo kwenye nani wa kumuunga mkono nadhani inategemea na mapenzi ya mtu binafsi. Ndio maana leo kuna wale washabiki kindikindaki hata kama Chama kinaboronga vipi wenyewe wapo. Kwa hiyo ushabiki wa siasa nowadays upo sana kama Simba na Yanga.
Wote wa moja tu wanaangalia maslahi zaidi. Hapo kwenye nani wa kumuunga mkono nadhani inategemea na mapenzi ya mtu binafsi. Ndio maana leo kuna wale washabiki kindikindaki hata kama Chama kinaboronga vipi wenyewe wapo. Kwa hiyo ushabiki wa siasa nowadays upo sana kama Simba na Yanga.
acha ujinga wewe,katiba inaliliwa na wanasiasa na wanacholilia ni tume huru ya uchaguzi..sababu wanaamin itawasaidia kufika ikuluHujui kilicho ndani ya KATIBA? Kweli safari tunayo ndefu.