Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,413
- 2,275
Big mbona anasuasua watu kunawa au kuongeza uji? Hii ni penati na inatakiwa ifungwe na watu angalau wafute machozi kwa kagoli kamoja, kuombewa kwa mungu ni kawaida lakini wengine ni vizuri kuwaombea kwa shetani kwa matendo yao mabaya walooyafanyia binaadamu
