Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
hongeraKwako ndio Hana faida, ila kwangu na kwa wenzangu wasiozibwa na chuki, wivu, visasi na ndugu wa mambo hayo, twamtakia AFYA NJEMA.
hongeraKwako ndio Hana faida, ila kwangu na kwa wenzangu wasiozibwa na chuki, wivu, visasi na ndugu wa mambo hayo, twamtakia AFYA NJEMA.
Diana rose sitta,pole lakini mzee wako ni mnafik hatariii sisi humu tunamuombea RIP.UGUA POLE Mzee Samwel Sitta. Pole sana Diana Sitta umefanya vizuri kuelezea hali halisi ya mzazi wako
Naye akitaka kusamehewa ajiunge CHADEMA.Hapana ,huyu alikuwa ndio dereva hasa wa kuitupilia mbali Katiba yetu Wananchi .Hao wengine walikuwa wazungumzaji tu ...
Diana hivi Baba aliwahi kukuambia ule mchakato wa katiba ulikuwaje?Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
![]()
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
Sawa mtoto wa Sitta umetutia moyo mashabiki wa mwendo kasi wake maana angekuwa spka kipindi hk taifa linge stand upWakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
![]()
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
Kutokusamehe ni kujiumiza mwenyewe!Kosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
Utatangulia utamuacha ukimwi ajali ya gari vyote vipi nyuma yakoPole Mzee Sita! Utu uzima nao umefika! Umekula kula imetosha
Watu wamekuwa na roho mbaya sababu ya ukali wa maisha. How can u even wish a person to die eti amekula chumvi, ulimlisha wewe? Wivu tu na roho mbayaUtatangulia utamuacha ukimwi ajali ya gari vyote vipi nyuma yako