Wewe nani kakwambia yeye ndo ataanza kwenda kaburi ili huku nyuma wewe umsamehe?unaweza ukaanza wewe pia...ajuae ni mungu tu.Kosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
Bado jibu ni lile lile, sintokuwa nimemsamehe, lakini akitangulia yeye naweza kupata huruma nikamsamehe na kumuombea kwa Mungu amsamehe, kwa hiyo ili apate msamaha wangu inabidi atangulie yeyeWewe nani kakwambia yeye ndo ataanza kwenda kaburi ili huku nyuma wewe umsamehe?unaweza ukaanza wewe pia...ajuae ni mungu tu.
Hawa wazee wamelitumikia taifa,wewe unasema hawana faida?au mtu mpaka auze duka la vipodozi kama wewe ndio awe matawi ya juu.huyu mzee hata akifa kesho sawa tu Hana faida yoyote kwa taifa,sijui kwanini anachelewa kufa
Wewe nani kakwambia yeye ndo ataanza kwenda kaburi ili huku nyuma wewe umsamehe?unaweza ukaanza wewe pia...ajuae ni mungu tu.
Wewe utabakia milele!! Una heri weweUzuri nawe UTAKUFA tu. Haijalishi unajenga hoja vipi, UTAKUFA tu!