Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Ulisikia kauli ya Prophet T.B.Joshua kwa Mwigulu? "All those who kill their fellow country men, either directly or by order, shall Not live beyond 2015. Why don't these killings happen at your political rallies?" Mwenye masikio ya kusikia na asikie.
 
Hata ile siku yule mwanasiasa aliyekuwa akihutubia huku akionekana live, alipoanguka jukwaani huku watu tukishuhudia!, taarifa ilisema "ni mzima wa afya!, hana tatizo lolote la kiafya!" ule ulikuwa ni uchovu tuu!, fatigue!.
Pasco
kwa hiyo?
 
kuna habari kwamba mzee samuel sitta kaugua ghafla na kulazwa hospitalini dodoma. Wajumbe wanasema watampigia kura hata akiwa na drip wodini.

nimeongea na wasaidizi wa karibu wa katibu wa bunge na mtu wa karibu na sitta, mzee yuko shwari hiyo imetungwa ili kufanya wajumbe wapaniki na sitta apate kura chache hata akishinda aonekane hakubaliki
 
Siwaamini jackton manyerere Pasco maana hawa ni wakereketwa,wapenzi na wanazi wa manywele meupe na manywele na Sitta ni paka na panya.
 
Last edited by a moderator:
Nimemkumbuka yule mchawi aliyedondoka hapo bungeni last week...
 
Kamati ya ufundi?! Yaani hujui kama mwenyekiti wa wachawi yupo inside? Kafunga milango yote ya mwingine kuwakinga adui zake hapa ilibidi wamwangukie kwa kumpatia fungu la fedha. Nasikia yule gwagula mkuu yupo kundi la Mamvi.

Una kila dalili ya kuwa mshirikina uliebobea
 
Hebut tuwekeeni namba ya Sitta hapa tumtwangie tujue ukweli!
 
Hata ile siku yule mwanasiasa aliyekuwa akihutubia huku akionekana live, alipoanguka jukwaani huku watu tukishuhudia!, taarifa ilisema "ni mzima wa afya!, hana tatizo lolote la kiafya!" ule ulikuwa ni uchovu tuu!, fatigue!.
Pasco
Halafu sijui kwa nini inawatokea wale wanasiasa ''tegemeo''??
 
Manyerere Jackton he is always wise, hakurupuki lazima kutakuwa na shida somewhere else.
 
Uliza general hospital. Mimi sizomoki. Kama kapata nafuu, hilo ndo tunaliomba. Jana kapelekwa hospitalini akiwa taaban.
 
Seeing is believing!zimebaki dakika chache tutaona bungeni km yuko ok!ila hizi siasa za tz zimefika pabaya jamani!kila mmoja anamuombea mwenzake vibaya!binafsi naombea awe salama !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…