Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
habari wana jukwaa.
kumekuwa na taarifa zilizoletwa humu jukwaani na mwana jf mwenzetu kuwa mgombea uenyekiti wa bunge la katiba mh. samwel sitta amegua gafla. taarifa hizo sio za kweli, ni za uzushi, uongo na zipuuzwe.
mleta mada ana nia ya kupotosha ukweli na kutaka kuonyesha umma kuwa sitta ana matatizo ya afya ili kumpunguzia imani yake kwa wajumbe wa bunge la katiba wanaotarajia kupiga kura jioni hii ya kuchagua mwenyekiti wa bunge hilo.

NB. moderators wachukue hatua kwa mwana jf manyerere jakton ambaye ni verified member lakini muongo.
cc.
mods wote wa jukwaa la siasa
 
Mzee ulichoandika pia hakina udhibitisho kama Manyerere. Ngoja tuone kama atatokea kwenye kujinadi baadaye!!
 
Manyerere kanusha hii kama yako ni ya kweli. Mnatuchanganya, Sitta ndio tegemeo pekee kwenye hii shuhuli.
 
We chanzo chako cha habari ni kipi,hujui manyerere ni mwanahabari zaidi ya member wa JF tu?
 
Vyovyote iwavyo,haki itabakia kuwa nguzo kuu ya kulivusha Taifa salama kwenye mchakato wa kupata katiba mpya,
 
Tokea zamani huyu mzee anaumwa si unaona kila mara anakuwa na kitambaa makamasi yanatoka kila wakati hii inaonesha ubongo una hitilafu!
 
We lofa..sema habari umesikia wapi na uhakika wake...hapa si chooni unaingia utakavyo......
 
habari wana jukwaa.
kumekuwa na taarifa zilizoletwa humu jukwaani na mwana jf mwenzetu kuwa mgombea uenyekiti wa bunge la katiba mh. samwel sitta amegua gafla. taarifa hizo sio za kweli, ni za uzushi, uongo na zipuuzwe.
mleta mada ana nia ya kupotosha ukweli na kutaka kuonyesha umma kuwa sitta ana matatizo ya afya ili kumpunguzia imani yake kwa wajumbe wa bunge la katiba wanaotarajia kupiga kura jioni hii ya kuchagua mwenyekiti wa bunge hilo.

NB. moderators wachukue hatua kwa mwana jf manyerere jakton ambaye ni verified member lakini muongo.
cc.
mods wote wa jukwaa la siasa
Hata ile siku yule mwanasiasa aliyekuwa akihutubia huku akionekana live, alipoanguka jukwaani huku watu tukishuhudia!, taarifa ilisema "ni mzima wa afya!, hana tatizo lolote la kiafya!" ule ulikuwa ni uchovu tuu!, fatigue!.
Pasco
 
Kwanini mnapenda sana kukosoa taarifa nyeti? Nani mwendawazimu au punguani wa kumzulia jambo zito kama hili? Kama hamna la kuchangia nyamazeni tu.

Mkuu, kuna mtu kaibuka upande wa pili na thread yake ya kukanusha .................. tena amemuomba Mod akufungie kwa kumzushia Mwenyekiti Mtarajiwa!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom