Jackson Mnyerere ni mwanahabari ana vyazo vyake vya ndani tutaendelea kuamini "Sitta augua ghafla"
Mwanahabari wa kambi gani maana siku hizi wanahabari nao wana kambi zao! Tanzania!!!
Jackson Mnyerere ni mwanahabari ana vyazo vyake vya ndani tutaendelea kuamini "Sitta augua ghafla"
mimi mwenyewe.Source?...
unataka uthibitisho gani??
kwa hiyo?
Kanisome hapa [h=3]Ni Busara Wajumbe Wote Wa Bunge la Katiba, Kumuunga Mkono Mhe. Samuel Sitta Awe Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Katiba!.![/h]
Manyerere kanusha hii kama yako ni ya kweli. Mnatuchanganya, Sitta ndio tegemeo pekee kwenye hii shuhuli.
habari wana jukwaa.
kumekuwa na taarifa zilizoletwa humu jukwaani na mwana jf mwenzetu kuwa mgombea uenyekiti wa bunge la katiba mh. samwel sitta amegua gafla. taarifa hizo sio za kweli, ni za uzushi, uongo na zipuuzwe.
mleta mada ana nia ya kupotosha ukweli na kutaka kuonyesha umma kuwa sitta ana matatizo ya afya ili kumpunguzia imani yake kwa wajumbe wa bunge la katiba wanaotarajia kupiga kura jioni hii ya kuchagua mwenyekiti wa bunge hilo.
NB. moderators wachukue hatua kwa mwana jf manyerere jakton ambaye ni verified member lakini muongo.
cc.
mods wote wa jukwaa la siasa
Nimemkumbuka yule mchawi aliyedondoka hapo bungeni last week...
Manyerere ni mhariri wa gazeti, hawezi kuzusha habari.We lofa..sema habari umesikia wapi na uhakika wake...hapa si chooni unaingia utakavyo......
Kuna habari kwamba mzee samuel sitta kaugua ghafla na kulazwa hospitalini dodoma. Wajumbe wanasema watampigia kura hata akiwa na drip wodini.
wewe nani magreth sitta?
Hapa ni kama vita fulani kati ya makundi fulani...anyway, muda haugandi, itajulikana tu.
manyerere ni mhariri wa gazeti, hawezi kuzusha habari.