Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
are you 6,
ok! Nikutakie afya njema katika haya mapambano mazito yaliyombele yako.
Tukopamoja mzee mwenzangu,wagogo wote tunakuombea.

Acha ujinga na umeshasikia Sitta yuko kwa tabibu
 
Inafahamika wazi kuwa ccm ni mashetani, cha msingi hapo apigiwe kura kama kawaida hata kama yupo hospitali, swala si atarudi, tatizo liko wapi, kwani wameambiwa atakufa, ccm ni kiboko aise, na wote mnaoishabikia ccm, jueni mnayashabikia mashetani.
 
heeh,mbona Sitta huyu hapa bungeni japo ana mafua.Manyerere punguza ukanjanja.mods piga ban huyu pimbi
 
Jambo hili lilibandikwa hapa jana na member mmoja aitwaye 'ba nso' mida ya saa 4:11 usiku kuhusu kuugua kwa mmoja wa wagombea...nai paste hiyo habari hapa ...

"salaam wanajamvi,
ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea
cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi
kua mshindi adi kusababisha uchaguz
kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake.
Tumuombee tafafhali"

unganisheni doti kama habari hii ni kweli!

Mbona kama wazee wa 'sumu baridi' wamehusika !!!!
TANZANIA YETU INAPEPERUKA
 
Huyo BANSO kama sio mjukuu wa Mzee asiye na dini basi atakuwa ndiye anatumia ipad ya huyo gwagula kwani hiyo ipad hutumiwa kuroga watu kidigital.

kwani prof. maji marefu na kingunge wapo kundi gani?.inaonekana hii nchi inaendeshwa kwa mikataba ya kichawi mno.
 

Mkuu Pasco hata kama ungepaka rangi hayo maneno yako na kuyawekea marembo ya aina gani bado wewe ni wa upande usiompenda na kumkubali Samwel Sitta.

Upande uuliopo ni wa Lowassa na hili halihitaji maono ya ya
T.B Joshua. mbaya zaidi umekutana na swahiba wako Abubakar Liongo ambaye ameajiriwa na Lowassa kwa kazi moja tu ya kumsfiisha kwa gharama yoyote!

Si kwamba namchukia Lowassa nooo iisipokuwa najaribu kuonnesha wazi unafik wako Pasco!
 
Last edited by a moderator:
Taarifa kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi wa Bunge la Katiba amesema 'waliotimiza masherti ya kugombea ni wawili ambao ni Hasheem Rungwe na R. J. 6' na watachaguliwa kwa kura za siri.

Sitta upo fit anatoka nje ili kupisha mgombea mwenzake ajieleze.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom