Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Security camera zinaonyesha nini the last 48hrs? Chenge hakunyunyuzia this time?
 
mhhhh i smell smthin fishy hapo...wamwache jmn baba wa watu awe mwenyekiti hilo bunge
 
Mda huu sitta anatoa hoja zake kuomba kura ili awe mwenyekiti wa bunge
 
Sita anaingia ukumbini kujieleza anashangiliwa!aisee atapita kwa kishindo!
 
Anasema kumrudisha katika kiti cha uspika ni kama kumrudisha chura katika dimbwi la maji aliyoyazoea
 
habari za uongo mbona SITTA ANAONGEA BUNGENI SASA MWONGO MKUBWA MLETA MADA
 
Team ya Lowassa imefail... Manyerere kajipange upya na pasco
 
Sita asema ni uzushi kuwa alikuwa anaumwa
 
Dah !!!! kama kweli get well soon mzee utuwakilishe vidhuri coz wewew ndo una afadhari huko kwa wengi walooza....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom