Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Kama kweli, pole zake.

Ila kuna ma actor wa kisiasa hadi basi, kuna mtu aliwahi jisambazia ujumbe.

Pia sio lazima kaendewa popote, labda fatigue tu.
 
Jambo hili lilibandikwa hapa jana na member mmoja aitwaye 'ba nso' mida ya saa 4:11 usiku kuhusu kuugua kwa mmoja wa wagombea...nai paste hiyo habari hapa ...

"salaam wanajamvi,
ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea
cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi
kua mshindi adi kusababisha uchaguz
kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake.
Tumuombee tafafhali"

unganisheni doti kama habari hii ni kweli!

Loading....
 
Mta fanyizana sana hadi siku ya uchaguzi mkuu na kuendelea. Ni kupigana vikumbo tu sasa. NDIO USHETANI WENYEWE HUO. Mnasingizia udini, ukabila, uchama, ufisadi ... HAMNA UPENDO BALI NI CHUKI TU, mtachukia hata hewa mliyopewa bure na MUNGU na udongo mnaoukanyaga. Utendaji kwenye sectors za elimu, afya, ulinzi na usalama na kwengineko kote ni ndumbulu mbangala tu. Mtajijuu amuachiani hewa na hakuna njia ya kutokea. Ustaraabu wa KIMUNGU kwenu ni ndoto.

Watu kufokeana tu na kutoleana mapovu, na hakuna kupiga hatua zaidi ya kurudi kinyumenyume kwenye ujima (the law of jungle). Mara wapigwe tu!!!!!. Mtapigwa tuuu kwani mtafanya nini? Amuwezi kitu.

Ushauri wa bure ili kupata dawa, MGEUKIENI MUNGU NA KUTUBU PIA KUMPOKEA YESU KUWA KAMA BWANA NA MWOKOZI WENU. KULENI NENO LA MUNGU MNENEPE KIROHO NA KUJAWA NA UPENDO WA MUNGU. (Angalieni msinitukane mie)
 
Kuna habari kwamba mzee samuel sitta kaugua ghafla na kulazwa hospitalini dodoma. Wajumbe wanasema watampigia kura hata akiwa na drip wodini.

hiviiii.... uliongea nao wajumbe wote wakasema watampigia sita?
 
Nasikia anatakiwa mwenyekiti awe Shoga! Taarifa hii ilipomfiki Six akakumbuka ya kuvalishwa skirt ndo presure ikapanda.
 
kuna siku utaambiwa mkeo / mumeo kakutwa chumbani gesti na jamaa /demu akivunja amri ya sita, wewe utaomba picha kwanza ili kujiridhisha kabla ya kuchukua action.
eeh! KWA HIYO WEWE UKIAMBIWA TU KWAMBA MKE WAKO KAKUTWA NA NJEMBA CHUMBANI GESTI HOUSE BASI HAPO HAPO UNACHUKUA HATUA?, MIMI NAKUSHAURI USIWE UNAFANYA MAAMUZI KWA KUAMBIWA,:dance: KUNA SIKU UTAKUJA KUJUTA, CHUNGUZA KWANZA NDIYO UAFANYE MAAMUZI, KINYUME CHA HAPO UTAACHA WANAWAKE WENGI.
 
Habari zisizo za uhakika ame RIP...nafuatilia zaidi
 
Kuna habari kwamba mzee samuel sitta kaugua ghafla na kulazwa hospitalini dodoma. Wajumbe wanasema watampigia kura hata akiwa na drip wodini.

who knows may be alichosema kakobe kinaanza kuonekana....tutegemee majibu tofauti kutoka serikalin kama wakat Wa mwakyembe ilivyokuwa.....chakavu na siasa sa hovyooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom