Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

Samwel Sitta: Msimamo wa Maaskofu hauna nguvu yoyote

sitta ni mlopokaji hao anaowakashifu anaungama mbele yao na kuhubiliwa ni kujitoa ufahamu.
 
Hivi huyu baba ndio amekubali kutumika kiasi hiki. Siungi mkono kuwasema viongozi wa kiimani uwe mwislamu au mkristo.

Viongozi hawa ndio washauri wetu mambo yanapokuwa magumu. Hivi sasa nchi yetu ipo njiapanda kuu (BVR, Katiba mpya, kura ya maoni, Uchaguzi mkuu) na viongozi wa dini wa wajibu wa kutoa ushauri mambo magumu yanapokuwepo.

Tusiwabeze viongozi hawa ila tuwatumie vizuri maana tusipoangalia nchi yetu inaweza kuvunjika vipande vipande kwa sababu ya maslahi ya wachache
 
WAKIRISTO mue makini na matamko yenu,JK mumemuweka nyinyi serikalini mumejaa nyinyi.selikali inawapa bilion 60 kutoa huduma za kijamii.nyinyi hamna mulichokosa.hata viongozi wenu wananguvu zaidi ya wetu.na matamko wakitoa viongozi wa dini nyingine?na munajua mambo ya dini watu wanachinjana,na munatujua sisi waislam tukikata tamaa.tumepewa nafasi tuamuwe,tumeishi vizur,tusiiharibu nchi yetu mzur kwa ushabiki wa kisiasa.
 
Kwa hiyo Sitta na Chenge ndio wenye mamlaka ya kuwaamulia wananchi na sio viongozi wao wa kiroho?! Sitta is a dead wood, period
 
wewe ni mkiristo mufu kama asjofu ikongo aliyebanwa asuhuhi kuwa anaponda waraka huku yeye aliishawai kugombea ubunge via ccm

Wewe ulitaka niungane na wewe katika kufikir
 
Sisi na kwenye jumuia zetu ndo tunajua kama msimamo una nguvu au hauna.


Sitta is senile and that is the reason he cannot grasp the influence of the Roman cathoric church as an institution in the country!!
 
waziri wa uchukuzi ambaye sasa anakaimu nafasi ya waziri mkuu bungeni samwel sitta ameshambulia msimama wa maaskofu nchini kwamba hauna nguvu yeyote

akiushaumbulia waraka wa maaskofu kuhusu upigaji wa kura ya maoni kiongozi huyo amesema maaskofu hawana mamlaka ya kuwaamulia watu.

Sitta pia amechekelea kwamba sababu nyingine ya msimamo wao kutokuwa na nguvu ni kwamba maaskofu wenyewe wamegawanyika vipande vipande kuhusu kura ya maoni.

Samwel sitta amekuwa akituhumiwa kwamba wakati wa bunge la katiba aliwatukana na kuwakashifu maaskofu na kanisa pale waliposhauri bunge hilo lisitishwe.

mtu mpagani pekee ndo anayeweza sema hivyo,
kiongozi wa kiroho ni zaidi ya uwajuavyo,ukitaka kujua ushawishi wao hudhuria mazishi
 
WAKIRISTO mue makini na matamko yenu,JK mumemuweka nyinyi serikalini mumejaa nyinyi.selikali inawapa bilion 60 kutoa huduma za kijamii.nyinyi hamna mulichokosa.hata viongozi wenu wananguvu zaidi ya wetu.na matamko wakitoa viongozi wa dini nyingine?na munajua mambo ya dini watu wanachinjana,na munatujua sisi waislam tukikata tamaa.tumepewa nafasi tuamuwe,tumeishi vizur,tusiiharibu nchi yetu mzur kwa ushabiki wa kisiasa.

Sijakusoma hasa hoja yako ni nini

DINI itusaidie sio tu kumpendeza ALLAH na kwenda peponi lakini pia TUISHI kwa upendo na amani na watu wote kadiri ya Mtume (SAW)

Tusikuze na kupanda chuki pasipo sanabu
 
Mbona umepaniki sana ukweli unauma.

Huwa sipanik kwa vitu vya kufikirika, na mtu kuwaza yeye anavyofikiria na kumlazimisha mwenzake afikiri kama yeye
 
Nachomsifu samwel Sitta
Kawaambia ukweli
Mimi n mkiristu lakini siungi tamko lao

We sio mkristo,mnafiki kama baba yako sita,hv mchakato uliuonaje? Unaonaje zoezi la uandikishaji?acha kujitoa akili,
 
Mi nadhani maaskofu ni viongozi wa wanachama wa vyama vyote na wasiokuwa na vyama na itikadi tofauti ni bora wangewashauri wakristo wao waisome katiba inayopendekezwa waielewe na kuipigia kura kwa busara ya NDIO AU HAPANA. vinginevyo itakuwaje katiba hiyo ikipita? Watajionaje au watajisiaje? Na je nini kitatokea ikiwa viongozi wa kiislamu nao watawaambia waumini wao waikubali na kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa?? Viongozi wa dini wasitupeleke kusikofaa..

Hii mantic mimi huwa siielewi kabisa, inamaana wachungaji hawatakiwi kusema hiki hakifai? yaani mchungaji yeye akiona uovu unataka kutendeka anatakiwa asiukemee na awaache watu wapime wenyewe? mchungaji kamuona mwizi badala ya kumkemea na kumwambia haifai basi awaache wanaoibiwa wapime wenyewe. Tukumbuke kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya wachungaji na waumini wao, sawa na wewe unauza kahawa halafu unaona mteja wako anatendwa, ujue anaweza kushindwa kuja kununua kahawa.
 
Na alaniwe Sitta yeye na kizazi chake chote huwezi kila wakati ukajifanya ukuu juu ya ukuu wa Mungu kwa ababu ya madaraka hapendi kukosolewa yeye ni nani nchini ya uso wa mbingu
 
Sitta ni mpango wa Mungu, anafanya kazi ya Mungu kubwa sana nadhani baada ya Kikwete anafuata yeye. Hongera sana mzee Sitta kwa kuendelea kurahisisha ukombozi wa watanzania.

Wakati wa Bunge la katiba ulisema maaskofu siyo wakristo ni kama walishasahau sasa umerudia tena kuwa hawana mamlaka.
Safi Sitta tutakukumbuka sana
 
Matusi yote haya ya Samwel Sitta wakiristo bado wanakata mbuno kuwa na umoja kuikataa katiba lakini silaumu ukiristo ulivyo unafiki unafiki na hofu
 
Back
Top Bottom