Wanitakiani
JF-Expert Member
- Apr 18, 2008
- 641
- 135
Inawezekana wewe ulipokuwa bado kazini ulikuwa ukiogopa sana kwenda kinyume na mkuu wako lakini Sitta hajaogopa hilo, na ameendelea kupingana ata na chama chake kwenye mambo yenye maslahi ya nchi, sio wengi wenye ujasiri huo.
Mzalendo wa kweli hawezi kusubiri kuwa chama fulani ndipo aanze kupinga uovu au ufisadi unaofanyika, tumeanza lini kuvipenda vyama kuliko nchi yetu? mheshimu sana mtu anayehatarisha maslahi yake binafsi kwa jili ya kupigania maslahi makubwa ya umma.
mbona itakuwa maafa zaidi kama watakimbia halafu waiache ccm mikononi mwa mkulu, riz1, nape na mwigulu huku wameshikilia usalama wa taifa, polisi na bakwata. bora wabaki wapambane huko huko mkulu ni nuksiSITA,MWAKYEMBE na Wenzie wote wanaojidai wapiganaji akati wanaogopa vivuli vyao wote ni wanafiki wakubwa
Huwa nikiona habari za Sitta nahisi kichefuchefu.
Alishirki kufunga majadala wa mkataba wa richmond ghafla. Angeruhusu mjadala leo hii Dowans wasingetusumbua.
Waliomzomea Kikwete walikosea, huyu hasa ndiye anayepaswa kuzomewa.[/QUOTE]
Dah! Unajikanyagakanyaga tu katika jitihada zako za kumfagilia msanii. Kikwete mangapi ambayo yako ndani ya uwezo wake ameshindwa kuyafanya? Kama huyakumbuki ngoja nikuwekee baadhi tu: kuondoa janga la nchi kuwa gizani na hivyo kuongeza kwa kiasi kikubwa uzalishaji nchini ambao sasa umeanguka kwa kiasi kikubwa, kuhakikisha kwamba mikataba ya madini inabadilishwa ili kuwanufaisha Watanzania. Kuwafukuza kazi wale wote ndani ya baraza lake la Mawaziri ambao utendaji wao ni sifuri ikiwamo Ngeleja, Malima, Mkullo na wengineo wengi
Jina la Samwel Sitta lilipotajwa ili apokee recognition pale udsm kama Spika aliyesoma kitivo cha sheria alishangiliwa sana. Ukumbi ulilipuka kwa shangwe. Kushangiliwa kwake tena na wasomi inaonyesha watanzania wana imani kubwa nae. CCM wakifanya mizengwe namshauri ajiunge Chadema, atapata nafasi nzuri, watanzania wanamhitaji sana.
Sita ni bogasi sana. Alikuwa mtandao asilia wa kikwete pamoja na hao akina fisadi hadi akajenga ofisi ya spika kule Urambo kama vile yeye atakuwa spika pamanenti!!
Mwulize zile pesa za CDA zilikwenda wapi kama anatofautiana na akina George Mlingwa na Nalaila Kiula siyo unafiki tu
Ebana ile kesi yako dhidi ya Msekwa kule Nebraska imefikia wapi?
Inawezekana wewe ulipokuwa bado kazini ulikuwa ukiogopa sana kwenda kinyume na mkuu wako lakini Sitta hajaogopa hilo, na ameendelea kupingana ata na chama chake kwenye mambo yenye maslahi ya nchi, sio wengi wenye ujasiri huo.
Mzalendo wa kweli hawezi kusubiri kuwa chama fulani ndipo aanze kupinga uovu au ufisadi unaofanyika, tumeanza lini kuvipenda vyama kuliko nchi yetu? mheshimu sana mtu anayehatarisha maslahi yake binafsi kwa jili ya kupigania maslahi makubwa ya umma.
mbona point yako haieleweki?kama ni hivyo mimi ni jasiri kuliko sitta,angekuwa jasiri tungemshuhudia hapa jamvini akijibu hoja dhidi yake.jina langu halisi ni jingalao na ninatokea kikonga.Acha unafiki wewe!! Sitta ni Jasiri!! kama wewe unaona kusema ukweli si ujasiri basi tuoneshe ujasiri kwa kuandika jina lako la ukweli ili tuamini maneno yako!! otherwise shut your pie hole!!
Let the real man of people feel proud!!
Hata Kikwete kabla hajawa Rais alishangiliwa sana na wanachuo na kumshawishi agombee urais hata kabla ya kipindi cha kuchukua fomu. Sikumbuki kulikuwa na tukio gani lililomfanya afike.
hii ni aina nyingine ya upuuzi wa kitanzania hakuna anaye sema THANKS kisa kuna kosa lilifanywa nyuma au linaendelea hata sheria zina hukumu wati kitofauti kutokana na ushirikiano wao au uwajibikaji
mimi sio mfuasi wa SITTA ila kwa maneno anayosema no matter anamaanisha amaanishi ni ya ukweli na muhimu kutolewa na mtu kama yeye sasa watu wanataka yeye afanyeji?
kama kusema ukweli sio mwanzo mzuri baadaye atajua na njia, au mpaka aseme mtu furani hapa ndio yanaoneka sio unafiki tunapima vipi sasa huo unafiki
Kumbe kuna wasomi wanaomshangilia huyu mnafiki?..
Kama kawaida Watanzania wenye fikra mgando wanaendelea kuimba wimbo waliokaririshwa pasi kufikiri...Mnafiki....Mnafiki....Mnafiki, CCM wote Wanafiki...Wanafiki...Wanafiki, upumbavu mtupu!!
Ebu endeleni tu kuimbaimba huo wimbo huku pasi kujua mkiwakatisha tamaa waliojitolea kupambana na uovu, na kuipa nguvu kambi ya waliojitolea kula pesa za nchi.
Kumbe kuna wasomi wanaomshangilia huyu mnafiki?..Wewe ndo mnafiki mkubwa kumbe nimegundua magamba watu wazuri hamuwapendi! Mimi magamba siwapendi lakini some person i like in magamba he is the among!