Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi.
Samuya yuko gereza la kukataliwa na watanzania, analindwa sana ili nafsi yake isije ikachoropoka. Gereza hili halina kuta zinazoshikika, lkn zinampoteza kabisa Samuya kwenye uso wa dunia. Uhuru wake hauoni hata kwenye kuta 4 za chumba chake. Umma wa watanzania na dunia yote unamng'ong'a. Mashitaka na tuzo za uovu zinamfuata chumbani kwake alikofichwa.
Samuya hata akilamba sukari, ulimi wake unampa taarifa kuwa kalamba shubiri. Samuya yuko gereza baya kuliko lile la Lisu.