Samuya na Lissu wote wako gerezani

Samuya na Lissu wote wako gerezani

Hzi post zenu zisizo na maadili zinalikosesha heshima jukwaa letu. Ifikie mahala tuweze kujiongoza wenyewe tuwapunguzie kazi ma moderators

JamiiForums

Samuya na Lisu wote wako gerezani.​

1 of 2Next Last
Jump to newSubscribe
•••

Sexless

JF-Expert Member​

Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi.

Samuya yuko gereza la kukataliwa na watanzania, analindwa sana ili nafsi yake isije ikachoropoka. Gereza hili halina kuta zinazoshikika, lkn zinampoteza kabisa Samuya kwenye uso wa dunia. Uhuru wake hauoni hata kwenye kuta 4 za chumba chake. Umma wa watanzania na dunia yote unamng'ong'a. Mashitaka na tuzo za uovu zinamfuata chumbani kwake alikofichwa.

Samuya hata akilamba sukari, ulimi wake unampa taarifa kuwa kalamba shubiri. Samuya yuko gereza baya kuliko lile la Lisu.
 
SIMBA WA KIZIMKAZI AWA RUHANI IKULU YA KIZIMKAZI
1766924767441.jpeg

Baadaye kule Wazee wa Singida walifanya mambo ya kimila, Tundu Lissu akumbushia kupewa jina la Simba na Samia

FULL STORI :

17 February 2025

RAIS SAMIA AKUBALI TUNDU LISSU NI SIMBA "BABU YANGU ALIUA SIMBA" LISSU ATAMBA MBELE ZA WATU

View: https://m.youtube.com/watch?v=u_WO24DTWpE
 
Hzi post zenu zisizo na maadili zinalikosesha heshima jukwaa letu. Ifikie mahala tuweze kujiongoza wenyewe tuwapunguzie kazi ma moderators
Post zako ndo hazina maadili wala utu, sababu roho ya mtu unaiona kama roho ya panzi. Bora mchawi kuliko huyo mama yako Muuwaji.
 
I'm in chains, you're in chains too,
I wear uniforms,
And you wear uniforms too,
I'm a prisoner, you're prisoner too,
Mr Jailer,

I have fears, you have fears too,
I will die, but yourself will die too,
Life is beautiful,
Don't you think so too ?
Mr Jailer.

View: https://youtu.be/ttYDmpQjv4s?si=9tMArPKrB_AJw4ZV

Lissu vs Samia is a proverbial example of Mr Jailer predicament. 😁😁​
 
Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi.

Samuya yuko gereza la kukataliwa na watanzania, analindwa sana ili nafsi yake isije ikachoropoka. Gereza hili halina kuta zinazoshikika, lkn zinampoteza kabisa Samuya kwenye uso wa dunia. Uhuru wake hauoni hata kwenye kuta 4 za chumba chake. Umma wa watanzania na dunia yote unamng'ong'a. Mashitaka na tuzo za uovu zinamfuata chumbani kwake alikofichwa.

Samuya hata akilamba sukari, ulimi wake unampa taarifa kuwa kalamba shubiri. Samuya yuko gereza baya kuliko lile la Lisu.
Yaani huyu mama anajuta,anatamani jana iludi iwe leo
 
db77787c-3b41-4ffd-951a-2a9013027b7b.jpeg
 
Inafikirisha sana, Samuya hana tena nafasi ya kujitoa kutoka gerezani la hapa nyumbani wala lile la ICC The Hague Uholanzi hilo amelibaini

KARMA IMEMKUMBA SAMIA

TOKA MAKTABA :
24 August 2024
RAIS SAMIA ATAKA SIMBA AITWE TUNDU LISSU - WATU WOTE WACHEKA -"MMEMPA JINA GANI? AITWE TUNDU LISSU"

View: https://m.youtube.com/watch?v=UXFoyKtbEEA

Tundu Lissu ni Simba Kweli kweli
 
Hilo gereza alimo Samia Suluhu Hassan ni gereza baya sana...

Ni gereza linalomnyima uhuru wa nafsi, roho, moyo na mwili. Hili gereza alimo Samia linamwondolea amani, furaha na utulivu wa nafsi yake kwa sababu ya kubeba hatia ktk nafsi yake, hatia ya kuua watu, kumwaga damu za watoto, kina mama na kina baba wasio na hatia. Damu za watu hawa zitamtesa daima kwa kuwa zinamlilia Mungu toka ardhini zikiomba kulipa kisasi.....

Kwa kifupi ni kuwa, gereza alimo Samia, ni gereza la mateso makuu ya nafsi....!!

Mwenzake Tundu Lissu wala. Amani na furaha tele....

Ana limitation ya uhuru wa kwenda atakako tu (limitation of freedom of movement) lakini hasumbuliwi na hatia yoyote ktk nafsi na roho yake. Hana HATIA mbele za Mungu na mbele za watu. Hajamwaga damu ya mtu, yake ndio ilimwagwa. Hakuna damu inayomlilia Mungu toka ardhini kulipa kisasi kwa Tundu Lissu. HAIPO!... Lakini Samia kwa hakika, mwangamizi hatamwacha, anaye mpaka ahakikishe kapotea kabisa....

Ni bora uwe kwenye gereza la kuzuiliwa la namna hii lakini nafsi na roho yako zikiwa zinaogelea ktk amani na furaha kwa kulala usingizi safi na murua...

Mungu Mkuu, Yehova ambariki na kumtunza mtumishi wake Tundu Lissu
 
Siku za mwisho za utawala Dikteta Salazar

View: https://m.youtube.com/watch?v=SpvzrI6h1Ww

Kwa miaka 48, António Salazar alitawala Portugal yaani Ureno kwa nguvu ya kunyamazisha umma. Makala hii inaonyesha jinsi udikteta mrefu zaidi wa mrengo wa kulia barani Ulaya ulivyolidhibiti taifa—na kwa nini ulimwengu haukumbuki sana...

Antonio Salazar alizaliwa kijijini tarehe 28 April 1989 , na aliishi maisha yake Ikulu bila kuwa na mke, ingawa inadaiwa ktk ujana wake akiwahi kuwa na mahusiano kadhaa na wasichana wa kutoka familia tajwa

Dikteta António de Oliveira Salazar alikuwa anaungwa mkono na majeshi ya usalama pamoja na viongozi wa dini, hivyo makuhani hao wakawa wapo karibu na dikteta huyo muda wote ...

António de Oliveira Salazar alikuwa mtawala kuanzia mwaka 1932 hadi 1968, miaka hiyo Portugal ilikuwa na makoloni kuanzia Angola, Mozambique, Guinea Bissau hadi Timor na Macao kule China kuendesha nchi yake ya asili masikini barani Ulaya ya Magharibi ya Portugal..

Kama ilivyo kwa madikteta yote katika utawala wao António de Oliveira Salazar alitegemea maandamano, mabango makubwa ya picha yake na machawa kujaribu kuonesha nguvu yake ya kukubalika.

Marafiki wa dikteta António de Oliveira Salazar walikuwa Adolf Hilter wa NAZI ya Ujerumani, Jenerali Francisco Franco wa Spain na Mussolini wa Italia

Mwaka 1948 Dikteta António de Oliveira Salazar alianzisha Idara ya Usalama wa Ndani na Kimataifa maarufu PIDE - Polícia Internacional e de Defesa do Estado ambayo iliwasaka wapinzani wa utawala wake ndani ya nchi na pia nje ya mipaka ya Ureno

PIDE - Polícia Internacional e de Defesa do Estado mwanzoni ilikuwa na wafanyakazi 2,000 ilikuwa imejipenyeza ktk miji na vijiji kukusanya taarifa pia kuwakamata wapinzani wa dikteta Antonio Salazar

Taifa la Ureno lilitengwa na dunia, wimbi la kudai uhuru katika makoloni ya Ureno ya Afrika ya Angola, Cape Verde Guinea Bissau, Sao Tome, Mozambique kwa pamoja yalileta changamoto kwa utawala wa dikteta Antonio Salazar

PIDE - Polícia Internacional e de Defesa do Estado walitanua mtandao wao wa kufuatilia upingaji wa Salazar huko Mozambique n.k waliginga milango ya wanavijiji na mijini na kuwakamata wapinga ukoloni

Kampeni hii ya Dikteta Salazar kungangania makoloni ililazimisha vijana kuingizwa jeshini na kutumwa kupigana vita kilometa kibao mbali na Ureno katika makoloni yake Afrika

Dikteta Salazar alijifungia muda mrefu katika kasri ndani ya ikulu kwa muda mrefu wa mwaka 1968 baada ya kupata kiharusi kutokana na msongo wa mawazo..

Dikteta Antonio Salazar akatembelewa na viongozi wengi akiwa anaugulia shambulio la kiharusi...
 
Back
Top Bottom