Samuya na Lissu wote wako gerezani

Samuya na Lissu wote wako gerezani

ENDELEA KUWA MZALENDO NA LINDA TASWIRA NZURI YA NCHI YAKO🇯🇲
Sasa imebaki kujiandikia lolote tu lipitalo kichwani mwako hata kama halina maana yoyote, mradi tu uonekane upo JF?

Hali ilivyo sasa hivi ni sawa na Lissu kumweka kifungoni Samia, ambaye anatamani sana Lissu akubali kumfungulia. Inawezekana sana usielewe maana ya hii ni nini; kwani wewe ni nguruwe tu.
 
Lile gari lake jipya sidhani kama ana lifurahia. Kwa Sababu anapita nalo mtaani mkuku mbio sana

Hapati hata wasaa wa kuangalia maendeleo aliyo waletea watanzania 😁😁(kama yapo)

Mara ya mwisho kupitia nalo kwa mwendo wa kawaida ilikuwa siku amekula kiapo.

Aaah mama Samia ungesikiliza ushauri kabla ya uchaguzi sasa hivi ungekuwa unaheshimika bila mitutu ya bunduki
😁 😁 mkuu kwamba anapita mbio kumzidi hata kasongo ila maisha haya
 
Utofauti wao mkubwa, Gereza alimo Lissu, ana matumaini siku moja atatoka na kuwa huru, ila kwa Samuya hana uhakika atakuwa huru au atawekwa ndani ya shimo la futi 13
 
Back
Top Bottom